Hasara ya bilioni 36 tangu Magufuli kuingia madarakani

nusuhela

JF-Expert Member
Jan 26, 2014
5,818
7,106
Tshs bilioni 8 kila mwezi TANESCO bado wanalipa IPTL. Rais haijampendenza kumaliza ufisadi huu. IPTL nadhani ni Jipu la Mgongoni ( kwa kutumia maneno ya Hidaya wa Richard Mabala ).
Rais, kwa kutochukua kwake hatua, ameshaliingizia taifa hasara ya tshs 36 bilioni toka aingie madarakani.
 
kwahiyo tanesco hawajawahi tumia hata unit moja ya umeme kutoka iptl? walipaswa watumie megawatt ngapi?
 
Tshs bilioni 8 kila mwezi TANESCO bado wanalipa IPTL. Rais haijampendenza kumaliza ufisadi huu. IPTL nadhani ni Jipu la Mgongoni ( kwa kutumia maneno ya Hidaya wa Richard Mabala ).
Rais, kwa kutochukua kwake hatua, ameshaliingizia taifa hasara ya tshs 36 bilioni toka aingie madarakani.

mkataba wa iptl ukivunjwa, naamin ile mitambo itauzwa serikalini kama vyuma chakavu...

iptl ispofanya biashara na serikali, itafanya biashara na nani?
 
Na faida/hela alizokusanya tangu aingie madarakani?
Zina tija gani kwa mm mwananchi wa kawaida? Kama ameongeza pato ni faida yake yeye mwenyewe kukuza jina. Ila kuhusu IPTL inanihusu mwananchi kwani bei ya umeme ipo juu kisa hilo deni. Bei inayofaa mimi kununua umeme ni sh 80 kwa unit. Lakini sasa hivi nauziwa sh 385. Hujui kujiongeza
 
Na amekusanya kiasi gani?'
Kukusanya nini? Hivi unajua hilo deni nani analipa au unaongea tu. Hilo deni tunalipa sisi wananchi. Tulipandishiwa bei za umeme kutoka sh 80 kwa unit mpaka sh 385 kwa unit ili tanesco waweze kulipa hilo deni baada ya serikali kusema haitaweza kulipa. Jiongeze sio unaendaenda tu kama nyumbu
 
Tumia alternative source MKUU kama umeme gharama kumbuka kuna solar na BIO gas tuaikariri TANESCO kila siku tunawapa kichwa
 
Tshs bilioni 8 kila mwezi TANESCO bado wanalipa IPTL. Rais haijampendenza kumaliza ufisadi huu. IPTL nadhani ni Jipu la Mgongoni ( kwa kutumia maneno ya Hidaya wa Richard Mabala ).
Rais, kwa kutochukua kwake hatua, ameshaliingizia taifa hasara ya tshs 36 bilioni toka aingie madarakani.
Angalia washirika wa mmiliki wa IPTL
 
Huyo zzk ni mwenzawazimu mkubwa. kila siku iptl kwani nani hajui kuwa yeye pia ni jipu. subiri magu aamke vizuri siku kama zzk hajaishia segerea
 
Tumia alternative source MKUU kama umeme gharama kumbuka kuna solar na BIO gas tuaikariri TANESCO kila siku tunawapa kichwa
Mkuu umenena. Adui yangu mkubwa ni yule TWIGA. Na rafiki yangu mkubwa ni SOLAR. Umba jua Na Kama unafuga Ng'ombe vile vile utapata umeme badala ya kulalamika fanya uchunguzi wa SOLAR.
Kwa wale walio panga mijini itabidi mlalamike maana michango ya LUKU
Haiishi.
 
Kama tatizo ni bei ya umeme wa iptl toa ushauri magufuli afanye nini. Maana kuzima mitambo ya iptl ni mgawo zaidi na hasara kuliko hiyo unayofikiria wewe. Bila shaka serikali nzima wanajua hali halisi zaidi kuliko Zito.
 
INAWEZEKANA GHARAMA ZA KUVUNJA MKATABA NI KUBWA UKILINGANISHA NI HICHO WANACHOLIPWA.....NA KAMA WAMEBAKISHA MIAKA MICHACHE YA MKATABA WAO.....
 
Back
Top Bottom