Hahahaa haaaa
Nakataaa
Mi huwa situmii maji ya baridi maisha yangu....
Labda itokee nipo mazingira ambayo maji ya moto siwezi kuyapata hapo sina ujanja.....lakini hivihivi siwezi kabisa na nipo ok tu...
Mu najua tuneumbwa tofauti thus ol
Wadau,binafsi sipendi kuoga maji ya moto.ila nimekuja huku njombe imenilazimu kuoga kila siku maji ya moto maana hamna option nyingine labda usioge na ukisema uoge ya baridi unaweza kupata kiharusi,hali ya huku ni ya ajabu sana.
Binafsi sipendi kuoga maji ya moto ila nimekuja huku njombe imenilazimu kuoga kila siku maji ya moto maana hamna option nyingine labda usioge na ukisema uoge ya baridi unaweza kupata kiharusi, hali ya huku ni ya ajabu sana.
Kwa mwanamme ni mazuri. Maji moto yanasaidia kufanya mishipa ya damu isimame na mapigo ya moyo kwenda haraka hivyo damu uzunguka vizuri. Ni vizuri kuyaoga wakati kabla ujalala na mkeo
Nimewasili hapa mkoani sasa ni mwezi na nusu kutokana na hali ya hewa hapa nalazimika kuoga maji ya moto kila siku! Naomba wenye uzoefu na hii kitu kwa kuwa sikuwahi fanya hivi kabla nategemea kuwa hapa kwa muda kidogo.....Je kuna madhara yoyote au faida?Ahsanteni....
Faid ya kuoga maji ya moto ni pamoja na kuusaidi katika kuyeyusha mafuta yanayojigandisha mwilini baada ya jasho nkuktoka mchana kutwa,pia yanasaidia katika kuufanya mwili ujisikie fresh yani ni kama maasage fulani hivi ya maji, maji ya baridi sanasana huwa ni muhimu kwa kuchangamsha mwili lakini pia mahospitalini huwashauri wagonjwa wenye homa kali kuoga maji ya baridi ili kushusha hiyo homa kwa njia ya maji kwanza
The effects of exposure to cold on metabolism are well documented. Enhance immunity. Cold water stimulates the release of substances vital to immune function, such as cytokines. Stabilize blood pressure and other bodily functions.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.