Hasara na faida za kuoga maji ya moto!


No Escape

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Messages
5,322
Likes
5,402
Points
280
No Escape

No Escape

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2016
5,322 5,402 280
Nimewasili hapa mkoani sasa ni mwezi na nusu kutokana na hali ya hewa hapa nalazimika kuoga maji ya moto kila siku! Naomba wenye uzoefu na hii kitu kwa kuwa sikuwahi fanya hivi kabla nategemea kuwa hapa kwa muda kidogo.....Je kuna madhara yoyote au faida?Ahsanteni....
 
AKILI TATU

AKILI TATU

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2016
Messages
1,352
Likes
947
Points
280
AKILI TATU

AKILI TATU

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2016
1,352 947 280
Faid ya kuoga maji ya moto ni pamoja na kuusaidi katika kuyeyusha mafuta yanayojigandisha mwilini baada ya jasho nkuktoka mchana kutwa,pia yanasaidia katika kuufanya mwili ujisikie fresh yani ni kama maasage fulani hivi ya maji, maji ya baridi sanasana huwa ni muhimu kwa kuchangamsha mwili lakini pia mahospitalini huwashauri wagonjwa wenye homa kali kuoga maji ya baridi ili kushusha hiyo homa kwa njia ya maji kwanza
 
Samboko

Samboko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2011
Messages
4,142
Likes
3,470
Points
280
Age
36
Samboko

Samboko

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2011
4,142 3,470 280
Inapunguza nguvu za kiume
 
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
32,825
Likes
97,979
Points
280
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
32,825 97,979 280
upload_2016-12-13_13-28-24-jpeg.445720


The effects of exposure to cold on metabolism are well documented. Enhance immunity. Cold water stimulates the release of substances vital to immune function, such as cytokines. Stabilize blood pressure and other bodily functions.
 
Katavi

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Messages
40,772
Likes
5,301
Points
280
Katavi

Katavi

Platinum Member
Joined Aug 31, 2009
40,772 5,301 280
Faida sizijui kwa kweli ila binafsi napendelea ya baridi sana.
 
nyakagwe

nyakagwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Messages
426
Likes
181
Points
60
nyakagwe

nyakagwe

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2015
426 181 60
Maji ya moto yana vibe sana mpaka raha!!
 
hodi hodi

hodi hodi

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2016
Messages
234
Likes
112
Points
60
Age
57
hodi hodi

hodi hodi

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2016
234 112 60
Mimi napenda sana yakutoka ktk frige,hapo huwa fresh,yamoto nasikia ukitumi
 
spetinaty

spetinaty

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Messages
230
Likes
124
Points
60
Age
49
spetinaty

spetinaty

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2016
230 124 60
Yana haribu sana km hujawahi tumia kaa mbali nayo utajikuta sura inabadilika mwisho uwe kama zombi
 
M

Masai Mara

Senior Member
Joined
Dec 25, 2014
Messages
134
Likes
41
Points
45
M

Masai Mara

Senior Member
Joined Dec 25, 2014
134 41 45
Nakuja Liana boko, post: 18857145, member: 58682"]Inapunguza nguvu za kiume[/QUOTE]
Nakubaliana na wewe.Upo sahihi
 
supermarket

supermarket

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2016
Messages
7,148
Likes
9,981
Points
280
Age
32
supermarket

supermarket

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2016
7,148 9,981 280
Maji mazuri kwa afya ni ya uvuguvugu
Kwa kunywa lakini, maji ya uvuguvugu ndo bora zaidi kama wachina.
-Kuoga maji ya moto au uvuguvugu kwa muda mrefu ngozi inasinyaa
 
Siafu na Manga

Siafu na Manga

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2013
Messages
2,573
Likes
8,007
Points
280
Siafu na Manga

Siafu na Manga

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2013
2,573 8,007 280
umoto upi unaozungumzia wewe?
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
43,156
Likes
40,575
Points
280
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
43,156 40,575 280
Kwa kunywa lakini, maji ya uvuguvugu ndo bora zaidi kama wachina.
-Kuoga maji ya moto au uvuguvugu kwa muda mrefu ngozi inasinyaa
maji ya kuoga yanafakiwa yawe na nyuzi joto ngapi kwa vipimo vya °C?
 
supermarket

supermarket

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2016
Messages
7,148
Likes
9,981
Points
280
Age
32
supermarket

supermarket

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2016
7,148 9,981 280
maji ya kuoga yanafakiwa yawe na nyuzi joto ngapi kwa vipimo vya °C?
Itategemeana na afya ya mwili wa mtu au mazingira (hali ya hewa) lakini kwa kawaida about 39°C upwards
 
chuganian

chuganian

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Messages
1,052
Likes
1,073
Points
280
chuganian

chuganian

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2016
1,052 1,073 280
maji ya moto yanasababisha ngozi kuwa na makunyanzi means yanazeesha
 
Makuku Rey

Makuku Rey

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2013
Messages
1,824
Likes
1,174
Points
280
Makuku Rey

Makuku Rey

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2013
1,824 1,174 280
maji ya moto yanasababisha papuchi inakuwa kubwa mno!
 
chollodehutch

chollodehutch

Senior Member
Joined
Jun 29, 2016
Messages
146
Likes
172
Points
60
Age
25
chollodehutch

chollodehutch

Senior Member
Joined Jun 29, 2016
146 172 60
Mkoa Upii mkuu upoo kw mudaa...?
 

Forum statistics

Threads 1,273,258
Members 490,344
Posts 30,475,511