Has South Africa forgotten its history?

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,115
Has South Africa forgotten its history?
BBC News Online

Mozambique's government says about 20,000 of its citizens have fled South Africa because of the wave of attacks on foreigners in the past two weeks.

In South Africa, at least 50 people- from Zimbabwe, Mozambique, Somalia and Pakistan- have died and a further 25,000 have sought shelter because of the attacks. President Thabo Mbeki has urged the mobs to remember that for years South Africans were given refuge in the countries of those now being attacked.

Did your country support the ANC during the struggle against apartheid? Would you think twice about visiting South Africa now given the recent attacks on foreigners? Is South Africa fit to host the 2010 football World Cup? Send us your views.


If you would like to join Africa Have Your Say to debate this topic LIVE on air on Tuesday 27 May at 1600 GMT, please include a telephone number. It will not be published. You can also send an SMS text message to +44 77 86 20 20 08.

http://newsforums.bbc.co.uk/nol/thread.jspa?forumID=4850&edition=2&ttl=20080528030536

Published: Monday, 26 May, 2008, 12:35 GMT 13:35 UK
 
Kitu ambacho hawa wenzetu wanacho na ninaweza kuwasifu sio wanafiki na pia hawapendi kubaguliwa tatizo hili linaonekana limejilundika kwa muda mrefu na matokeo yake wameshidwa kuvumilia. Na hapo sasa serikali inabidi ifikirie mara mbili isiwalaumu saana hao walioamua kujichukulia sheria mikononi na yenyewe itambue kuwa wajibu wake ni kudhibiti wahamiaji haramu ambao ndio pia chanzo cha uhalifu uuzaji madawa ya kulevya pamoja na mauaji. Historia ya ubaguzi wa rangi ilisababishwa na hawahawa wahamiaji haramu makaburu katika nchi yao. Kwa hiyo mimi nasupport hiyo movement yao lakini sio mauaji. Najua wadau wengi hawatakubaliana na mimi lakini tujiulize ni kwa nini hata hawa majamaa wakachukua zana wakati huu na sio kabla? Tanzania yetu hii nayo inaliwa na nani na wewe mtanzania unayeambiwa hayo maisha bora ni kweli au ni kwa hao mafisadi wakishirikiana na wahamiaji haramu? Zitarudi enzi za ugabacholi na Mtikila lakini nisingependelea iwe hivyo.
 
Binafsi nasikitika kwa kitendo cha mauaji na vurugu zote hizo, ni kweli kwamba nchi nyingi za kiafrika kwa kiasi kikubwa tuliwasaidia wa South katika harakati za kupinga ubaguzi Afrika ya kusini. isiwe hoja kubwa sana kwamba tuliwaisaidia kupata uhuru so tukajae kwao hata kama kwenda kwetu huko kutasababisha upungufu wa ajira na matatizo kibao eti sababu tuliwasaidia kupata uhuru NOSENSE! kwa upande wa pili wa shilingi binafsi hili liwe fundisho la kuondoa fikra mgando za waafrika kuwa hawezi ishi vizuri,kupambana nchi kwake, ila nje ya nchi yake, mtu hawezi osha vyombo hotelini nchi kwake eti atachekwa lakini nje ya nchi hata kutapisha vyoo kwa mkono No problem!taahira ya akili na mtindio wa Ubongo! acheni Wasauzi waishi vizuri baada ya kuteseka kwa miaka dahari, nimeshuhudia msauzi mmoja kwenye Tv akionyesha Slams wanazoishi wasauzi na palace waishizo watu toka nje ya Sauzi, inasikitisha tusubiri kidogo ili nasi tuanze fikiria magabacholi wote waishio Masaki,M'cheni n.k wana uhalali gani, wasauzi wametuamsha!
 
Last edited:
hahahha ni fikra mbaya sana kuzisema ila kwa kweli hali inazidi na tunashangaa sana...wanavyoibuka na kuthaminiwa wenzetu wa ngozi nyeupe....utakuta kijana tuu anamilikishwa mali nyingi na anakubalika kupewa mikopo na FIN INST zetu ambapo mzawa hawataki hata usogee...wanawajenga sana kiuchumi..baadae wanakuwa watumwa wao...ona bungenii kwani wanatafuta nini hao...ona biashara zote wanamiliki wao..wajua uchumi wetu umekaliwa na wao tuu???tujitahidi sana na tuwe na fikra za kutosha sio kazi yetu kulalamika na ku[enda starehe na kuimbwa na ma band yetu.....
 
Back
Top Bottom