Harusi ya Zitto na Anna inavyofanyika Zanzibar

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
53,104
53,341
13612247_10154336449874339_7047052935928514233_n.jpg
 
Harusi imekaa kifreestyle.
Kuna umri ukifika bado hujafanya wedding ukija kufanya wedding hazihitajiki mbwembwe kama za vijana wanaobarehe.

Hongera Zitto, na ni kwa sababu Zitto anajiweza kiuchumi ndio maana unaweza kuona U-VIP fulani hivi lakini ni simple and quality wedding.

Simpendagi Zitto kwa unafki wake lakini jinsi alivyohandle kuanzia uchumba mpaka harusi yake ameonesha maturity ya hali juu, hii ndoa kina Shigongo hawajapata nafasi ya kutia nuksi zao.

Naomba vijana wengine maarufu ambao bado hamjaoa/kuolewa igeni mfano wa Zitto jinsi alivyoendesha mambo yake kimyakimya hata JF hayakuvuja mpaka siku ya tukio.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom