HARUSI YA YNNAH 06:12:2013. Imevunja RECORD MKOA WA ARUSHA.

Mwacheni afaidi maana tatizo kesho asubuhi ndugu na jamaa wote watajua kuwa YNNAH kafanya mapenzi, it's no longer a secret kuwa dada yako anafanya ngono. Halafu unaenda kumsalimia mshkaji anayekulia dada yako

Ha haaaa...we wee
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana YNNAH,ndoa yetu ikapate kutawaliwa na UPENDO,FURAHA,AMANI. Ukarimu uwe utamaduni wenu,
 
Mimi na my wife wangu marejesho tunapohudhuria sherehe kama hizi, huwa tunakumbuka siku tulipofanya yetu! Ndio maana tunapenda kuudhuria sana!

Nakutakia maisha mema na ya furaha kama mimi na wife!
 
Last edited by a moderator:
Hongera YNNAH .....ujenge taasisi bora kabisa....
 
Last edited by a moderator:
Ennie dadangu pamoja na wana MMU na wanjf kwa ujumla wenu, muhusika YNNAH amekataza picha zisiwekwe nami pamoja na PakaJimmy tumesitisha kuweka picha zake humu. Tuheshimu privacy yake tafadhalini. Ahsaneni


Hivi kuna mtu alikuwa anasubiri picha kweli?

Huyo mwambie kuwa anaingilia madaraka ya mwenyekiti...lol!!


Babu DC!1
 
Mimi na my wife wangu marejesho tunapohudhuria sherehe kama hizi, huwa tunakumbuka siku tulipofanya yetu! Ndio maana tunapenda kuudhuria sana!


Ni kweli kabisa mume wangu mpenzi Filipo .Shughuli kama hizi zinatufanya wapya kila leo. MUNGU awatunze maharusi nao wafurahie ndoa yao kama sisi. Be blessed
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom