Arushaone
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 15,135
- 13,254
Kaolewa na nani? Nataka kumjua huyo aliyenipora kifaa changu. Mpeni hongera zangu toka kumoyo
umetenda dhambi kutamani mke wa mwenzio,Kaolewa na nani? Nataka kumjua huyo aliyenipora kifaa changu. Mpeni hongera zangu toka kumoyo
umetenda dhambi kutamani mke wa mwenzio,
unajua kuungama kwa kizungu? ni kivumbi, lol!
Kaolewa na nani? Nataka kumjua huyo aliyenipora kifaa changu. Mpeni hongera zangu toka kumoyo
Hongera mamy.
Ndoa yenu ikaongeze furaha moyoni na tabasamu usoni kwako.
Kila la kheir.
Mbona wewe unamung'unya inatupa habari ya harusi bila picha. picha plz ili tutoe bilated michango