Harusi ya Messi sasa kufanyika Juni 30, kocha wake wa zamani Luis Enrique hajaalikwa

Wazungu wapo rational sana naipenda hii style ya kumchukua mwanamke unaishi nae mnazaa mtoto mmoja wawili huku mnaangaliana mkiwa mmematch vizuri mnaamua sasa kufunga ndoa na harusi juu
Sasa Tanzania fanya hivyo uone utakavyoulizwa sasa lini tunafunga ndoa?? huko kwa wazazi wake ndiyo usiombe
Hivi hawa hawa wazungu si ndo wametuletea dini ambayo wao wengi hawaifati sio messi tu ni wazungu wengi na ndiyo kawaida yao
 
Naona anajifunga kitanzi, amuulize Thierry Henry, yule mcheza Golf, hapo aombe Mungu mke asiombe divorce huko mbeleni. Wanjanja siku hizi hawafungi ndoa, Maana ukija divorce ni stress za kufa Mtu.
 
sheikh Wa kufungisha ndoa anatoka bongo naye si mwengine bali ni shieikh nyundo akiongozana na Kipozeo.ahaha
 
Back
Top Bottom