Harusi ya mdogo wangu ilivyochukua wazazi na ndugu zangu wote

Pole sana dada Leah Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu.
Mnaokejeli kua ni story ya kutunga did you consider kuwa hii forum hatujuani and maybe amechange parts of her story to hide her identity.
Ntakua wa mwsho kuamini hii ni story ya kutunga.
Once again pole sana na Bwana awe faraja kwako.
 
Pole sana.

Hilo ni pigo kubwa sana kwako ila napenda kukupa tumaini ambalo lipo.

Nikisema nitakuadopt uwe mdogo wangu ni uongo, sitofikia nafasi ya mdogo wako na wazazi wako. Nikisema uolewe ama.una mume sawa lkn hata cover nafasi yao.

Mtu pekee atakaye kufariji ww ni Mungu peke yake. Mwite Yesu akae ndani yako. Atakuwa faraja ya ukweli na utimilifu wa kweli kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
maneno yako yamenigusa sana moyo wangu! tuzid kumuombea na Mungu ndio kila kitu AMEn
 
Pole. Siku zote faraja ya kweli ni Mungu peke yake. Sisi binadamu tu wafariji wataabishaji manake hata nikimuita mdogo wangu na Niki muadopt kabisa Bado nitazidi kumtaabisha as siwez kufika pale alipokuwa na Dada wa kuzaliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni habari iliyousonenesha moyo wangu na kunifanya nishindwe kuyazuia machozi yangu....

Nimelia peke yangu nimeona Leo ni washirikishe nanyi huzuni hii pengine ntapata faraja...

Nakumbuka ilikuwa mwezi july tarehe 26 2017 tulikuwa tusafiri Mimi baba mama na wadogo zangu watatu kwenda kwenye harusi ya mdogo wangu iliyokuwa ifanyike mwanza tarehe 29 July 2017.

Wao walikuwa wanatokea songea nami nilikuwa natokea dar..hiyo tarh 26 waliondoka wakiwa saba wakitumia usafiri wa Noah. Baba,mama,wadogo zangu watatu kati yao mmoja akiwa ndiye bibi harusi mtarajiwa, mjomba na mama mdogo.

Sikujua kama ile Noah ingechukua uhai wa ndugu zangu wote kwa mkupuo...

Ile Noah iligongana na Lori ikapoteza ndugu zangu saba hapo hapo .

Nimelia sana kila nikikumbuka nalia nimebaki peke yangu.

Nilihisi Mungu hayupo. Jamani tulizaliwa wanne lkn ghafla nimebaki peke yangu tena bila wazazi.

pole sana dada, mwenyezi Mungu ni mwema atakupatia faraja tena maishani mwako, usipoteze imani juu ya Mungu wetu,
Hakika yeye ni mpanga wa haya yote, atakufanyia wepesi In Shaa Allah..
 
Kila mtu anamitihani yake, pole sana Mungu akutie nguvu na kukupa faraja ya kweli
 
Pole sana Leah, Mungu mwenyewe akufariji ktk kipindi kigumu hiki. Kama ni mpenzi wa movie basi poteza muda kwa movie moja inaitwa The Shack. Itakusaidia sana kiimani. Kama inavyoonekana showbox app au app yoyote unayoweza kupakua movie basi Tafuta "The Shack"
 
Ni habari iliyousonenesha moyo wangu na kunifanya nishindwe kuyazuia machozi yangu....

Nimelia peke yangu nimeona Leo ni washirikishe nanyi huzuni hii pengine ntapata faraja...

Nakumbuka ilikuwa mwezi july tarehe 26 2017 tulikuwa tusafiri Mimi baba mama na wadogo zangu watatu kwenda kwenye harusi ya mdogo wangu iliyokuwa ifanyike mwanza tarehe 29 July 2017.

Wao walikuwa wanatokea songea nami nilikuwa natokea dar..hiyo tarh 26 waliondoka wakiwa saba wakitumia usafiri wa Noah. Baba,mama,wadogo zangu watatu kati yao mmoja akiwa ndiye bibi harusi mtarajiwa, mjomba na mama mdogo.

Sikujua kama ile Noah ingechukua uhai wa ndugu zangu wote kwa mkupuo...

Ile Noah iligongana na Lori ikapoteza ndugu zangu saba hapo hapo .

Nimelia sana kila nikikumbuka nalia nimebaki peke yangu.

Nilihisi Mungu hayupo. Jamani tulizaliwa wanne lkn ghafla nimebaki peke yangu tena bila wazazi.
Pole sanaa

android phone
 
Sioni neno la kukupa faraja likatoshelezea maumivu na hali unayopitia

Niseme tu 'pole'

Pia nafikiria sana maana ya 'maisha' na hasa nisikiapo mambo kama haya akili yangu bado inashindwa ku 'catch up' dhana nzima ya uwepo wetu ktk dunia hii

Pole sana
 
Ni habari iliyousonenesha moyo wangu na kunifanya nishindwe kuyazuia machozi yangu....

Nimelia peke yangu nimeona Leo ni washirikishe nanyi huzuni hii pengine ntapata faraja...

Nakumbuka ilikuwa mwezi july tarehe 26 2017 tulikuwa tusafiri Mimi baba mama na wadogo zangu watatu kwenda kwenye harusi ya mdogo wangu iliyokuwa ifanyike mwanza tarehe 29 July 2017.

Wao walikuwa wanatokea songea nami nilikuwa natokea dar..hiyo tarh 26 waliondoka wakiwa saba wakitumia usafiri wa Noah. Baba,mama,wadogo zangu watatu kati yao mmoja akiwa ndiye bibi harusi mtarajiwa, mjomba na mama mdogo.

Sikujua kama ile Noah ingechukua uhai wa ndugu zangu wote kwa mkupuo...

Ile Noah iligongana na Lori ikapoteza ndugu zangu saba hapo hapo .

Nimelia sana kila nikikumbuka nalia nimebaki peke yangu.

Nilihisi Mungu hayupo. Jamani tulizaliwa wanne lkn ghafla nimebaki peke yangu tena bila wazazi.
Pole sana mtegemee Mungu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom