Harusi ya Maxence na Stella - Hongera kutoka JF


Status
Not open for further replies.
J

Judy

Senior Member
Joined
Aug 13, 2007
Messages
195
Likes
1
Points
0
J

Judy

Senior Member
Joined Aug 13, 2007
195 1 0
wewe isnifundishe nini cha kuongea, soma threads zangu hapo juu, mimi napinga huyu kijana kuingizwa kwenye harusi ya kima-tonya. Namuombea kila la kheri kwenye harusi yake na wakae yeye mwenza wake mtarajiwa kwa furaha na amani lakini msimfungishe ndoa ya kuomba-omba.
Unapinga we ndo msemaji wake? si ye mwenyewe aje akatae watu wasichange? After all hajaomba mchango sasa hiyo ya wewe kustress habari ya umatonya inatoka wapi? hii ni kukosea wenzio heshima. Watu wamejitolea kwa mioyo yao kumuunga mkono, iwe materially au morally, sasa wewe unakuja na theory zako nyingi za nini? Jiheshimu bwana, unabore.
 
J

Judy

Senior Member
Joined
Aug 13, 2007
Messages
195
Likes
1
Points
0
J

Judy

Senior Member
Joined Aug 13, 2007
195 1 0
Miye Nilishasema Kule Kwenye Jukwaa Lingine Kuwa Huyu Kaka/dada Ana Matatizo Sana Katika Hoja Zake Sijui Ni Malezi Au Kukosa Ustaarab Lakini Inabidi Akae Chini Na Ajifunze Jinsi Watu Wanavyowasilisha Hoja Zao Hapa Jf.
Nadhani utoto wake haukuwa mzuri, lazima kuna vitu vilimu affect utotoni. Tumvumilie tu.
 
Field Marshall ES

Field Marshall ES

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2006
Messages
12,659
Likes
94
Points
0
Field Marshall ES

Field Marshall ES

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2006
12,659 94 0
I konw, traditional hapa ni ile ile haogopwi mtu, ila inaheshimiwa hoja yake tu!
 
N

NakuliliaTanzania

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2007
Messages
560
Likes
2
Points
0
N

NakuliliaTanzania

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2007
560 2 0
Wakuu, sitaki kurudia waliokwisha sema wana JF wengine, lakini inatia kichefu chefu kuona kuwa apmoja na uhuru wa kutoa hoja hapa mtu anaendelea kutoa vioja, tangu lini mtu kalazimishwa kuchangia harusi?
Kama umatonya, tunao tu kama waTZ tukianza na serikali yenyewe ndo maana hata bajeti ni tegemezi kwa more that 40%, pamoja na kuwa hapa hoja ya umatonya haisimami kwa sababu sijaona mahali watu wameombwa wachangie hela au chochote, thread ni tangazo la ndoa na sio MCHANGO wa ndoa!

Kama sio kudivert attention kwa makusudi ni nini?
 
Msanii

Msanii

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2007
Messages
6,446
Likes
396
Points
180
Msanii

Msanii

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2007
6,446 396 180
Hii inanipa imani kuwa humu ktk JF kuna walio bora na wasio bora. Hakuna usawa maana nilipowatangazia mwaka jana kuwa ninaoa ni wawili watatu tu walinipa chapuo na wanabodi wooote mlikaa kimya. Hii kujuana style ni mfano tosha wa kuonesha kwanini ufisadi bongo hautaisha maana kuoneana aibu na kulindana kama hivyi ndivyo vimetufikisha hapa.
Ninaunga mkono Ndoa ya mwenzetu ila uzito inavyopewa sioni uwiano wa kifamilia kama JF hapa. Ikichukuliwa nilikuwa ktk kila post yangu ninakumbushia harusi yangu lakini wanaJF mkawa so cold au kwa kuwa hamnifehem?? Najua anayenifahamu humu ni Invisible pekee. Ila nina imani kuwa kama JF tuishi kifamilia na kila mtu ni sawa humu ndani.

Maxcence karibu ktk club ya wenyefuraha maishani. Ila kumbuka kuwa ndoa ya mke mmoja ni yenye furaha, Ukitaka kumpenda zaidi mkeo basi usiwe na nyumba ndogo zaidi ya mmoja.
 
G

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Messages
8,570
Likes
134
Points
0
G

Game Theory

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2006
8,570 134 0
MIMI SIWAELEWI KABISA HAWA WATU WANAOA

KAMA UNAPATA MAZIWA YA BURE NGOMBE WA NINI?

 
Dua

Dua

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2006
Messages
2,481
Likes
28
Points
135
Dua

Dua

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2006
2,481 28 135
Hii inanipa imani kuwa humu ktk JF kuna walio bora na wasio bora. Hakuna usawa maana nilipowatangazia mwaka jana kuwa ninaoa ni wawili watatu tu walinipa chapuo na wanabodi wooote mlikaa kimya. Hii kujuana style ni mfano tosha wa kuonesha kwanini ufisadi bongo hautaisha maana kuoneana aibu na kulindana kama hivyi ndivyo vimetufikisha hapa.
Ninaunga mkono Ndoa ya mwenzetu ila uzito inavyopewa sioni uwiano wa kifamilia kama JF hapa. Ikichukuliwa nilikuwa ktk kila post yangu ninakumbushia harusi yangu lakini wanaJF mkawa so cold au kwa kuwa hamnifehem?? Najua anayenifahamu humu ni Invisible pekee. Ila nina imani kuwa kama JF tuishi kifamilia na kila mtu ni sawa humu ndani.

Maxcence karibu ktk club ya wenyefuraha maishani. Ila kumbuka kuwa ndoa ya mke mmoja ni yenye furaha, Ukitaka kumpenda zaidi mkeo basi usiwe na nyumba ndogo zaidi ya mmoja.

Kazi ambayo inaifanya Max wewe unaweza kuifanya? Acha ngebe naona wewe ni mgeni na huna hoja. Je, wewe kabla ya kuoa ulikwenda kulala rumande kwa ajili ya JF na Tanzania?
 
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
31,898
Likes
8,105
Points
280
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
31,898 8,105 280
Wakati mwingine sisi wanadamu tunatoa hoja lakini wakati mwingine hoja zinatuonesha kuwa kweli sisi hatuna damu!

Kwanza, nikiri kwamba ndugu zetu Dar-es-Salaam siyo tu kwa makusudi wanapotosha dhana nzima ya michango lakini pia anaonesha wazi hajui haja nzima ya kushirikiana na hili ni jambo la kusikitisha.

Lakini amepata wapi wazo hili la "umatonya" ambao unafanywa na serikali yetu?

Kwenye post ya kwanza kabisa Asha alichosema ni hivi:

Ndugu Maxence Melo anatarajia kufunga ndoa na Dada XXXXXX mwezi wa saba mwaka huu. WanaJF tujiandae kumuunga mkono mwenzetu. Hiyo ndiyo itakuwa zawadi kwake kwa kazi anayoifanya hapa kulitumikia taifa
sasa, Asha kasema tujiandae kumuunga mkono mwenzetu; kwa mtu yeyote ambaye anajua mambo ya ndoa alielewa ina maana gani. Sidhani kama bi Asha alimaanisha tumtungie nyimbo na kumpigia simu za pongezi na makofi ya hongera.

Watu wanne waliotangulia wote walisema vitu vya kujitolea; aliyetumia neno "michango" ni Mwafrika wa Kike aliyesema hivi tena kwa heshima zote na taadhima.

hongera Maxence....... nitakutumia mchango wangu karibuni!
Kwa hiyo kwanza tunaweza kuestablish bila shaka yoyote kuwa Max hakuomba mchango wala Asha hakuomba mchango. Na MwK hakumualika mtu mwingine achangie yeye MwK kajitolea na kusema ana kamchango anataka akatoe kwa Max, DES ni nani asimame kulaani mchango unaotolewa na mtu mwingine, kwa hiari na mapenzi yake mwenyewe? Ni Udikteta wa mawazo gani kuita kitendo cha mtu huru kutoa mchango anaojisikia yeye kwa rafiki yake au mtu anayejichagulia kuona ni umatonya?

Matonya ni ni nani basi kama siyo serikali yenye kuomba omba kila mwaka toka nje ya nchi? Kama umatonya ni mbaya si yeye DES awe wa kwanza kuanzisha mada ya Umatonya wa serikali ya Rais Kikwete na kukimbilia misaada kama kupanga foleni ya uji kwa wafadhili?

Waliomfuatia MwK na ambao na wenyewe wakasema wako tayari kuchangia shughuli hii ili ifanikiwe bila kuombwa au kulazimishwa na mtu yeyote ni Mlalahoi, Kidoti, Bubu, na wengine.

Lakini ndugu yetu DES ana tatizo jingine ambalo analionesha wazi hapa:

Hapa ndio mahala pake kwani kuna huyu Asha katowa ushauri mzuri tuu, wa kumuunga mkono mwenzetu, ghafla kuna watu wakarukia kwenye umatonya na si mimi niliyeanzisha hilo, mimi najibu hoja iliyoanzishwa na watu wanaotaka kuomba-omba kwa kuchangishana, eti wanasaidia ndoa ya huyu kijana, waambie wao waanzishe thread nyingine. Inaonyesha hukusoma hizi posts toka mwanzo. Umekurupuka tu. Umatonya si utamaduni wetu, umepandikizwa (brain-washed) vichwani mwetu, inafikia mpaka kwenye ndoa tunakuwa omba-omba.

Sasa, mtoa hoja ametoa sababu ya kwanini ameomba watu wamuunge mkono Max na sababu iko wazi kabisa na hajasema inahusiana na kuchangia "ndoa".. Asha anatoa sababu ya kwanini tumuunge mkono

itakuwa zawadi kwake kwa kazi anayoifanya hapa kulitumikia taifa
sasa wengi wetu tunajua yaliyomkuta Max hivi karibuni na wale tuliokaribu tunajua ni kwa kiasi gani anatumia muda na fedha zake binafsi kufanikisha mambo mengi ambayo watu kama kina DES wanayafurahia kama vile yameshushwa kama mana toka mbinguni!

Watu wako tayari kuchangia harusi ya Max na kuifanikisha na kuifanya irindime kwa sababu tunajua mchango wake katika Taifa na tunachofanya ni kurudisha shukrani kwa "kazi anayoifanya hapa (JF) kulitumikia Taifa".

Sasa DES haoni kazi hiyo na hayuko tayari kuonesha shukrani kwa namna hiyo; na kwa sababu hiyo anataka watu wafanye mambo kwa siri kwa sababu anazozijua yeye. Kwa hili ninampinga kwa pumzi yangu yote.

Umatonya unatokea pale ambapo serikali yenye Chuo Kikuu na taasisi lukuki za utafiti wa kilimo inapoenda kuomba mtaalamu wa kuwafundisha jinsi ya kuachana na jembe la mkono - huo ni umatonya!; umatonya ni pale ambapo serikali yenye kiwanda cha net inapoamua kukinga mkono kupokea msaada wa neti za bure milioni tano ambazo wangeweza kuzipata zote hizo kwa kuandika cheki moja; umatonya ni ule wa serikali ya CCM pale wanapokinga mikono kuyupa misaada ya shilingi Bilioni 900 toka EU ili kusaidia uendeshaji wa bajeti yetu wakati wana uwezo wa kuendesha bajeti yote kwa fedha zetu wenyewe!

Hawa ndio mamatonya ambao DES anatakiwa awavalie njuga. Bahati mbaya hawezi kufanya hivyo kwa sababu mtu haukati mkono unaomlisha!

Lakini kuna jimbo jingine la kifilosophia ambalo bila ya shaka ndugu yetu DES hajalipata sawasawa. Hakuna mwanadamu anayejitosheleza kwa kila kitu hata kwa akili! Ni kwa sababu hiyo hata katika kufanikisha jambo moja binafsi tunajikuta tunashirikiana na watu wengine aidha kwa mawazo, mali, hali, au namna nyingine yoyote ili kulifanya jambo hilo kuwa rahisi na lenye manufaa. Kuamua kushirikiana na wanadamu wenzako siyo tu ni kitendo cha kibinadamu lakini pia ni kitendo cha lazima.

Hivyo mtu ambaye anashirikiana na watu wengine kufanikisha sherehe, au kukabiliana na majukumu fulani ambayo binafsi ingekuwa vigumu kuyakabili haoneshi umatonya anaonesha uanadamu wake na utegemezi wake katika jamii inayomzunguka.

Na hapa ndipo kapewa shule na wakuu wengine; kuwa kuna utamaduni wa kushirikiana na kusaidiana katika kukabiliana na mambo mbalimbali ya maisha. Tunafanya hivi si kwa sababu sisi ni Matonya bali kwa sababu sisi ni binadamu; na binadamu hushirikiana na hakuna haya kusema tunashirikiana.

Lakini pia ndugu yetu amefeli vya kushangaza kuelewa dhana nzima ya umatonya; umatonya wa asili ni ule ambapo mwombaji hafanyi lolote bali kulala chini na kikopo chake kukinga pesa bila kutoa jasho lolote na bila kurudisha kitu chochote katika jamii ile. Huyu ndiye ombaomba; ndiye huyo mtu asiyerudisha kitu kwa jamii yake na ambaye hatoi mchango kwa jamii hiyo.

Ni ombaomba asiye na shukrani yule ambaye anapewa na kupewa lakini harudishi kitu na anaporudisha anarudisha vitu vibovu. Hivi kuna ombaomba na matonya aliyekubuhu kama CCM? Na ni kitu gani walichorurisha kwa Watanzania ambacho kiko katika hali nzuri!?

Ni kweli tabia ya umatonya ni mbaya na lazima ipingwe; lakini DES wamechagua uwanja mbaya wa kuchezea.

Nimalizie kwa kusema kuwa sidhani kama anatatizo la umatonya lakini tatizo lake ni kwanini wana JF wanashirikiana tena wazi wazi. DES anatamani mambo haya yangefanyika kimya kimya; Kwanini kimya kimya? kwa sababu kwa kutangaza tunaipa jina JF zaidi na inaonesha kuwa JF inazidi kuwa zaidi ya mtandao wa kiintaneti tu; JF inaanza kuwa ni jumuiya kweli na hili ndugu yetu linamchanganya akili. Inawezekana vipi watu hawa kushirikiana namna hii nadi kwenye mambo ya harusi? Anashindwa kueleewa kuwa tumetoka mbali. Hivyo akifanikiwa kuvunja huu udugu na ukaribu tulionao yatakuwa ni mafanikio makubwa kwani kila mtu atakuwa kivyake vyake!

Ni mawazo haya lazima tuyapinge kwani yana lengo la kugawa watu; kuwafanya wajione duni (kwa kutumia maneno ya "umatonya") na kuwafanya wajione kana kwamba wanachofanya ni kibaya! Lakini siri imefichuka; tunajua wazi nia yake kwani tatizo lake siyo kuchangiana na kusaidiana katika raha na shida, tatizo lake ni kwanini wana JF wamefikia mahali pa kuweza kushirikiana na kuonesha ukaribu wao. Sasa hili ni tatizo ambalo hakuna mtu atakayeweza kumsaidia kwani mambo mengine yanahitaji "maombi na kufunga"!

Na bila kusita wala nini, na mimi mchango wangu uko njiani pindi tukijua jinsi ya kuchangia kufanikisha harusi ya ndugu yetu Max.
 
KadaMpinzani

KadaMpinzani

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2007
Messages
3,750
Likes
27
Points
0
KadaMpinzani

KadaMpinzani

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2007
3,750 27 0
na mimi pia nilikuwa nafikiria kuoa 7 lakini hali haikuwa nzuri, nikapumzisha hayo mawazo ! lakini kwa kuwa nimevutiwa na umoja wa watu wenye nia ya kuchanga, basi natangaza rasmi kwamba na mimi nitaoa mwezi wa 7 !

naombeni mniunge mkono katika hili *nadhani mtanielewa*...kama ilivyosemwa hapo awali sio kunitungia nyimbo, kunipigia simu za hongera na makofi..sshukrani wana JF !!
 
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
31,898
Likes
8,105
Points
280
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
31,898 8,105 280
Nitakuwa wa kwanza kukuchangia kwa furaha! ndiyo undugu huo nipatie contacts zako mapema unavyoweza.
 
KadaMpinzani

KadaMpinzani

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2007
Messages
3,750
Likes
27
Points
0
KadaMpinzani

KadaMpinzani

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2007
3,750 27 0
shukrani aisee ! itabidi uangalie pm yako anytime !
 
M

Mgumu

Senior Member
Joined
Nov 3, 2006
Messages
112
Likes
1
Points
0
M

Mgumu

Senior Member
Joined Nov 3, 2006
112 1 0
Hongereni sana Max na kada kwa kuchukua uamuzi wa kuachana na ukapera.

Mnitaarifu vikao vitakuwa mitaa gani hapa Dar, niko tayari kutoa mchango wangu wa hali na mali.

karibuni sana kwenye ulimwengu wa ndoa wadogo zangu, ambapo akili hutumika sana badala ya nguvu.
 
zomba

zomba

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2007
Messages
17,081
Likes
73
Points
0
zomba

zomba

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2007
17,081 73 0
Unapinga we ndo msemaji wake? si ye mwenyewe aje akatae watu wasichange? After all hajaomba mchango sasa hiyo ya wewe kustress habari ya umatonya inatoka wapi? hii ni kukosea wenzio heshima. Watu wamejitolea kwa mioyo yao kumuunga mkono, iwe materially au morally, sasa wewe unakuja na theory zako nyingi za nini? Jiheshimu bwana, unabore.
Yeye sio matonya, jee nyinyi ndio ma matonya wake?
 
zomba

zomba

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2007
Messages
17,081
Likes
73
Points
0
zomba

zomba

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2007
17,081 73 0
I konw, traditional hapa ni ile ile haogopwi mtu, ila inaheshimiwa hoja yake tu!
ES mbona mlifuta haraka haraka yule alie pasua wewe ni nani? kama hamuogopi si mgewacha ile thread yake.

Wewe si m-matonya in the real meaning, au sio mgogo wewe?
 
zomba

zomba

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2007
Messages
17,081
Likes
73
Points
0
zomba

zomba

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2007
17,081 73 0
Nadhani utoto wake haukuwa mzuri, lazima kuna vitu vilimu affect utotoni. Tumvumilie tu.
Duhhh, wewe sasa unafika mbali, kweli utoto wangu haukuwa mzuri kwa kuwa sikuwa omba-omba, wewe ulikuwa na utoto mzuri sana wa kuomba-omba, ndio maana wakakubiki-- pale chini ya muembe.
 
zomba

zomba

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2007
Messages
17,081
Likes
73
Points
0
zomba

zomba

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2007
17,081 73 0
1. Mkuu JF ni ya kila member, na huwa tunatoa michango kuiendesha, lakini hata kama una matatizo ya kutochanga hatukufukuzi, karibu tu kaka uendele kutoa hoja zako, ila acha hoja za ubabe. Nina mali ninazozimiliki lakini JF sio mojawapo, aliyeyasema hayo "Mvua imemmnyea" maana alikuwa amezoea kuonea buji, this time amekutana na gombe jasho limemtoka.

2. Harusi ya Dogo, kama unaweza changa kama huwezi hulazimiswhi, na pia unaweza kuchangiwa hatuna noma hapa JF.

3. Kama unatoka Ikulu, wafikishie hoja zetu, lakini usije kutupa never ending low IQ lectures, na hiii tabia ya kutafuta ugomvi kwenye mada unaishia kuziharibu tu mada mkuu, hapa JF tunaelewa excitement za ugeni, lakini kuwa na heshima na waliokutengenezea uwanja huu mpaka na wewe sasa unaweza kusikika na bongo, na dunia nzima pia.

Otherwise, tunategemea michango ya kuendeleza taifa letu, na sio kushambulia tuuu watu usiowajua na wasiokujua hapa JF.

Ahsante Bro!
1, sichangi, hilo sahau kabisa kwa kuwa wewe na baba yako mnaweza kulipia hii JF bila kuchangisha mtu, kwa kuwa Mzee wako ni katika mafisadi wa mwanzo hapa Tanzania. Huna uwezo wa kunifukuza, ukinifukuza kwa jina la Dar. ntaingia kwa jina la Zanzibar. Kusikika dunia nzima si uhodari wako wala wa baba yako. Hukuanzisha wewe wala baba yako huu mtandao. Mali unazomiliki umerithi kwa baba yako aliyewaibia waTanzania. Na hakuwa na mfumo kamili wa uchumi ndio akawekeza kwenye ma-ng'ombe.

Nakupa ushauri wa bure: Yule mama aliejidai kuibiwa kwa nguvu mali ya baba yenu, alikuwa hajaibiwa, alifanya mavituz, chungeni atawawacha mata-- nje. Yule ni mchaga yule au hujui wewe?

2. Sichangi wala sichangiwi wala sito omba maisha yangu. Mimi si Matonya kama wewe, najua asili yako ndio wanaharibia taifa hili jina lake kwa kuomba-omba.

Ikulu sitoki, nipo kariakoo, dar. Na mimi for your information, am retired and now advising wisely, those who can heed and understand, not stupidos like you. Go ask your Dad , who is Dar, he knows me very well.
 
zomba

zomba

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2007
Messages
17,081
Likes
73
Points
0
zomba

zomba

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2007
17,081 73 0
Hii inanipa imani kuwa humu ktk JF kuna walio bora na wasio bora. Hakuna usawa maana nilipowatangazia mwaka jana kuwa ninaoa ni wawili watatu tu walinipa chapuo na wanabodi wooote mlikaa kimya. Hii kujuana style ni mfano tosha wa kuonesha kwanini ufisadi bongo hautaisha maana kuoneana aibu na kulindana kama hivyi ndivyo vimetufikisha hapa.
Ninaunga mkono Ndoa ya mwenzetu ila uzito inavyopewa sioni uwiano wa kifamilia kama JF hapa. Ikichukuliwa nilikuwa ktk kila post yangu ninakumbushia harusi yangu lakini wanaJF mkawa so cold au kwa kuwa hamnifehem?? Najua anayenifahamu humu ni Invisible pekee. Ila nina imani kuwa kama JF tuishi kifamilia na kila mtu ni sawa humu ndani.

Maxcence karibu ktk club ya wenyefuraha maishani. Ila kumbuka kuwa ndoa ya mke mmoja ni yenye furaha, Ukitaka kumpenda zaidi mkeo basi usiwe na nyumba ndogo zaidi ya mmoja.
Na wale usichangiwe kwenye ndoa.
 
KadaMpinzani

KadaMpinzani

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2007
Messages
3,750
Likes
27
Points
0
KadaMpinzani

KadaMpinzani

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2007
3,750 27 0
duh, imekuwaje tena mzee dar-es-salaam ?
 
KadaMpinzani

KadaMpinzani

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2007
Messages
3,750
Likes
27
Points
0
KadaMpinzani

KadaMpinzani

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2007
3,750 27 0
duh, halafu wikiendi hiyoooooooooooooooooo !
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,251,174
Members 481,585
Posts 29,761,026