Harusi ya Maxence na Stella - Hongera kutoka JF

Status
Not open for further replies.
A

Asha Abdala

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2007
Messages
1,134
Likes
5
Points
0
A

Asha Abdala

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2007
1,134 5 0
Ndugu Maxence Melo anatarajia kufunga ndoa na Dada XXXXXX mwezi wa saba mwaka huu. WanaJF tujiandae kumuunga mkono mwenzetu. Hiyo ndiyo itakuwa zawadi kwake kwa kazi anayoifanya hapa kulitumikia taifa

Asha
 
Last edited by a moderator:
N

NakuliliaTanzania

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2007
Messages
560
Likes
2
Points
0
N

NakuliliaTanzania

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2007
560 2 0
Ndugu Maxence Melo anatarajia kufunga ndoa na Dada XXXXXX mwezi wa saba mwaka huu. WanaJF tujiandae kumuunga mkono mwenzetu. Hiyo ndiyo itakuwa zawadi kwake kwa kazi anayoifanya hapa kulitumikia taifa
Asha
Nunga mkono hoja dada Asha
 
M

Mwafrika wa Kike

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2007
Messages
5,194
Likes
17
Points
0
M

Mwafrika wa Kike

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2007
5,194 17 0
Ndugu Maxence Melo anatarajia kufunga ndoa na Dada XXXXXX mwezi wa saba mwaka huu. WanaJF tujiandae kumuunga mkono mwenzetu. Hiyo ndiyo itakuwa zawadi kwake kwa kazi anayoifanya hapa kulitumikia taifa

Asha
hongera Maxence....... nitakutumia mchango wangu karibuni!
 
Mlalahoi

Mlalahoi

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2006
Messages
2,124
Likes
484
Points
180
Mlalahoi

Mlalahoi

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2006
2,124 484 180
Tufahamishane utaratibu wa kuchangia.
 
Feyanga

Feyanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2007
Messages
221
Likes
3
Points
35
Feyanga

Feyanga

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2007
221 3 35
Mi nampongeza huyo Dada XXXxx...

Ni Vipi tutachangia tufahamishane tu...........
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
80,592
Likes
117,693
Points
280
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
80,592 117,693 280
Tufahamishane utaratibu wa kuchangia.
Hongereni kwa kuamua kufunga pingu za maisha...:) Mie mchango wangu uko njiani. Nawatakia kila la heri na baraka katika maandalizi yenu ya moja ya siku muhimu katika maisha ya binadamu hapa duniani.
 
C

Chuma

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2006
Messages
1,330
Likes
16
Points
0
C

Chuma

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2006
1,330 16 0
Dada Asha kwani hadi sasa huna Mume...?

Muoaji na Muolewaji mfanikiwe ktk kufunga ndoa....na mkishafungaa ndoa...mambo ya kuchuja NJE myaepuke...
 
zomba

zomba

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2007
Messages
17,081
Likes
70
Points
0
zomba

zomba

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2007
17,081 70 0
Ama kweli waTanzania tusha kuwa taifa omba-omba, hata kwenye ndoa tunaomba-omba tuchangiane duhh. Tuwacheni haya jamani. Kwani mwenyewe alisema anataka kuoa kwa omba-omba?

Wewe kama unataka kumpa zawadi mpe kivyako-vyako sio upitishe UMATONYA.
 
zomba

zomba

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2007
Messages
17,081
Likes
70
Points
0
zomba

zomba

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2007
17,081 70 0
Muoa na muolewa nawapa hongera kwa kufikiria jambo la maana.

Nawaomba msikubali ndoa yenu iwe ya kuomba-omba au kuombewa-ombewa na watu wanaojidai wanawapenda kwa kuchangisha watu.

Jee mkiomb-omba na kuchangiwa itakuwa mnaoana au mnaolewa au mnaoana kwa umatonya?

Msikubali, kama mnataka ndoa ya heri na baraka basi iwe ni yenu wenyewe na si ya kuchangiwa, haina raha hata kidogo ndoa ya umatonya.
 
Field Marshall ES

Field Marshall ES

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2006
Messages
12,659
Likes
92
Points
0
Field Marshall ES

Field Marshall ES

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2006
12,659 92 0
Mkuu Dar, punguza jazba huyu Max ni mwenzetu hapa JF kama na wewe ulivyo pia, ukioa au ukipatwa na matatizo huwa tunaweka itikadi zetu pembeni na kuwa wa-Afrika, Dogo hakuomba mchango isipokuwa ni sisi wanachama ndio tunaamua kumpa mkono wa heri, yaani wa hali na mali kwa kuambiana mapema, na sio lazima kutoa mkuu kwa mgeni kama wewe, lakini huo ni utamaduni mzito tulionao hapa, mara ya mwisho tulimchangia Marehemu Member mwenzetu aliyefariki Makene (RIP), na pia majuzi tu tulikuwa na mchago wa kuiendeleza JF.

Mkuu jina lako linaanza kuwa kubwa hapa JF, sasa jaribu ku-live up to it, hoja zenye jazba siku zote huondoa utamu wa hoja zenyewe, na kumshusha hadhi mtoa hoja, hili ni baraza la majadiliano sio mahakama au kamati kuu, na wala JF sio tume ya Mwakyembe bro, heshimu uliowakuta mkuu na wewe uheshimiwe.

Uliyoyakuta yaheshimu mkuu, kama hatuna macho na wewe utoe.

Ahsante Mkuu.
 
Ninachoongelea hapa hakina itikadi wala dini awe ni mwana JF asiwe mwana JF. kuomba-omba kwenye ndoa yake si vizuri, kama ni mwenzetu na mwana JF na tunampenda na tunataka heri kwenye ndoa yake basi tusiifanye kuwa ya kimatonya. Kama unaweza na unampenda mpelekee zawadi bila wengine kujuwa umempa zawadi gani na si kuomba-omba na kutaka kujitangaza kuwa mimi nimesaidia hivi. Si vizuri, na kwa hili Mkuu utanisamehe sana, si la kiitikadi bali ni ukweli, kuomba-omba hata kwenye ndoa?
 
Field Marshall ES

Field Marshall ES

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2006
Messages
12,659
Likes
92
Points
0
Field Marshall ES

Field Marshall ES

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2006
12,659 92 0
Mkuu ni utamaduni ulioukuta hapa JF, kama haukufai basi ni kubadili channel tu mkuu, hakuna sababu ya ku-create debate kwa kitu ambacho kiko wazi mkuu, kuwa huu ni utamaduni wetu wa-Afrika, sisi tutamchangia wewe kaa pembeni tu mkuu, lakini hakukuwa na sababu ya kimsingi ya kuwshambulia wanaotaka kujitolea.

Pili pili iliyoko shamba isikuwashe mkuu, hili la mchango halina mjadala either utoe au usitoe, FULL STOP!
 
zomba

zomba

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2007
Messages
17,081
Likes
70
Points
0
zomba

zomba

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2007
17,081 70 0
Halafu napenda kukumbusha kuwa aliyetoa mada hajagusia kabisa habari ya michango wala kuomba-omnba. alichosema yeye ni kumuunga mkono, kumuunga mkono ninavyochukulia mie sio kuifanya harusi ya huyu kijana kuwa ya umatonya, kumuunga mkono ni kumuombea duwa za kheri katika ndoa yake, kumuunga mkono kwa kuhudhuria kwa watakaoalikwa, kumuunga mkono kwa kumpelekea zawadi bila ya kufanya organised umatonya.

Alietowa mada katowa jambo zuri tu na sidhani alikusudia tufanye umatonya, wengine waliochangia ndio wamekurupukia kwenye umatonya.
 
Kinyau

Kinyau

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2006
Messages
828
Likes
167
Points
60
Kinyau

Kinyau

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2006
828 167 60
Yani sometimes u may wonder how other people reason, with their heads, souls or what?
Simple Tangazo limeletwa, mwenzetu anataka kuoa, WanaJF tujiandae kumuunga mkono mwenzetu.sijaona sehemu pameandikwa ni lazima uchangie na sijaona sehemu iliyoandikwa wewe Dar es salaam unaombwa?
pia sijaona sehemu iliyoonyesha kuwa ni lazima ujitangaze kuwa utatoa ngapi au utaunga mkono kivipi?

why the big fuss, unajua maelezo ya mtu yanaweza kuonyesha ana personality gani na urefu au ufupi wa mawazo yake. Kama hutachangia ama hupendezwi be silent, send your wishes silently, hizi dhana za umatonya kwa kweli ni kumsushia hadhi mleta hoja. Malezo yapo as clear as pure water but still mtu anaamua for a reason known to himself kuwa trouble. Nafikiri kwa desturi zetu Watz wengine huchangia pesa, wengine mawazo wengine ushauri, wengine nguvukazi n.k na hiyo ndiyo michango ifanikishayo shughuli iwe harusi, msiba au lolote, we cant pretend kuwa sisi ni purerly western no na ndio maana hata huku ughaibuni tuna societies zetu na tunachangiana kwa hali na mali ktk shughuli zakijamii zimhusuzo mtanzania mwenzetu. Please tuheshimu mawazo ya wengine.
 
zomba

zomba

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2007
Messages
17,081
Likes
70
Points
0
zomba

zomba

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2007
17,081 70 0
Mkuu ni utamaduni ulioukuta hapa JF, kama haukufai basi ni kubadili channel tu mkuu, hakuna sababu ya ku-create debate kwa kitu ambacho kiko wazi mkuu, kuwa huu ni utamaduni wetu wa-Afrika, sisi tutamchangia wewe kaa pembeni tu mkuu, lakini hakukuwa na sababu ya kimsingi ya kuwshambulia wanaotaka kujitolea.

Pili pili iliyoko shamba isikuwashe mkuu, hili la mchango halina mjadala either utoe au usitoe, FULL STOP!
Wewe ingawa hii JF ni yako lakini usihubiri umatonya na kama JF utamaduni wake ni umatonya basi mimi naupinga sana tena sana. Hiyo ni kibri ya kumwambia mtu Full-stop. Na usifikiri unamtengezea bali unamharibia na kumfundisha umatonya.
 
zomba

zomba

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2007
Messages
17,081
Likes
70
Points
0
zomba

zomba

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2007
17,081 70 0
Yani sometimes u may wonder how other people reason, with their heads, souls or what?
Simple Tangazo limeletwa, mwenzetu anataka kuoa, anayeweza achangie,
sijaona sehemu pameandikwa ni lazima uchangie na sijaona sehemu iliyoandikwa wewe Dar es salaam unaombwa?
pia sijaona sehemu iliyoonyesha kuwa ni lazima ujitangaze kuwa utatoa ngapi
why the big fuss, unajua maelezo ya mtu yanaweza kuonyesha ana personality gani na urefu au ufupi wa mawazo yake. Kama hutachangia ama hupendezwi be silent, send your wishes silently, hizi dhana za umatonya kwa kweli ni kumsushia hadhi mleta hoja. Malezo yapo as clear as pure water but still mtu anaamua tu for a reason known to himself only kuwa trouble. Please tuheshimu wengine.
Huo ndio umatonya wenyewe, wewe unauchukulia simpo kwa kuwa umeshakukaa kwenye damu. Kuomba-omba hakuna usimpo kuna mbinu kama hii ya michango ni moja wapo.
 
FairPlayer

FairPlayer

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2006
Messages
4,166
Likes
76
Points
145
FairPlayer

FairPlayer

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2006
4,166 76 145
Dar,

Si ukae kimya? lazima upinge itikadi au utamaduni wa wenzako?

Bongo hii tunachangiana mzee!
 
zomba

zomba

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2007
Messages
17,081
Likes
70
Points
0
zomba

zomba

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2007
17,081 70 0
Dar,

Si ukae kimya? lazima upinge itikadi au utamaduni wa wenzako?

Bongo hii tunachangiana mzee!
Hakuna utamaduni wa kiTanzania wa kuwa omba-omba huu ni utamaduni tuliojijengea kwa upungufu wetu wa mawazo na hautusaidii kutujenga kifikra bali untuharibia na ndio mpaka hawa vijana wanaotaka kuanza maisha tunawarithisha umatonya. Kwa hili sioni wala sisikii nalipinga mpaka dakika ya mwisho, tunataka kujenga taifa aina gani kwa hili la kuomba-omba hata kwenye ndoa?
 
Kinyau

Kinyau

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2006
Messages
828
Likes
167
Points
60
Kinyau

Kinyau

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2006
828 167 60
oh I see you aren't worth arguing with me, not even a penny.
 
M

Morani75

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2007
Messages
619
Likes
2
Points
0
M

Morani75

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2007
619 2 0
Mac, big up kaka!!!!! Al the best kwa siku kubwa sana hiyo kaka.... Nakutakia wewe na "MTARAJIWA" heri na baraka kuelekea siku hiyo na kisha maisha mema!!!

Welcome to the club!!!
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,238,296
Members 475,878
Posts 29,315,094