Harusi ya Marehemu Oscar Kambona - Best Man Marehemu Julius Nyerere

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Messages
7,572
Points
2,000

Ndallo

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2010
7,572 2,000
Wakuu natumaini kichwa cha habari hapo juu kinahusiana na watu wawili katika historia ya nchi hii ya Tanzania, nikiwa nimezaliwa baada ya uhuru wa nchi hii nilishapata story kua jamaa hawa wawili walikua pamoja katika kudai uhuru wa nchi hii na pia walikua marafiki sana hata kufikia hatua ndoa ya marehemu Oscar Kambona ndoa yake ilisimamiwa na marehemu Julius Nyerere lakini chakushangaza nikaambiwa kua marehemu hawa walikuja kutofautiana! jamani je kuna mtu mwenye kumbukumbu ya picha ya harusi hii ya hawa mababa wa taifa hili na sisi tuweze kupata angalua tuweke kwenye kumbukumbu ya nchi hii?

Nawasilisha!
 
kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Messages
5,141
Points
1,500

kbm

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2012
5,141 1,500
bilashaka ukienda kwenye maktaba na makumbusho zetu, utapata kila kitu. Natumaini utajua na kupata ukweli zaidi ya unavyosikia.
 
macinkus

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2007
Messages
260
Points
170

macinkus

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2007
260 170
NYerere hamuwa best man Bali alikuwa "baba " es bibi harusi Flora. Harusi ilifungwa kwenye Kanksa moja London. Wakati huo Kambona alikuwa waziri es elimu. Alimpa Flora scholarship ili harusi ifanyike Ulaya, na Nyerere alisafiri kwenda huko kumwakisha baba mzazi wa Flora. Mdogo wake Flora tulikuwa naye shule ya bweni Waikato huo.

macinkus
 
Zakumi

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2008
Messages
4,856
Points
1,500

Zakumi

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2008
4,856 1,500
NYerere hamuwa best man Bali alikuwa "baba " es bibi harusi Flora. Harusi ilifungwa kwenye Kanksa moja London. Wakati huo Kambona alikuwa waziri es elimu. Alimpa Flora scholarship ili harusi ifanyike Ulaya, na Nyerere alisafiri kwenda huko kumwakisha baba mzazi wa Flora. Mdogo wake Flora tulikuwa naye shule ya bweni Waikato huo.

macinkus
.

Kwa hiyo Kambona alikuwa anatoa scholarship kama maandazi?
 
Forum statistics

Threads 1,392,874
Members 528,740
Posts 34,120,676
Top