Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,883
- 6,884
Hakuna sababu ya kuingia gharama zisizo za lazima wakati uwezo wako na nafasi yako inakuruhusu kiwango hiki, hapajaharibika neno maana kila hali imeonyesha kukidhi hadhi.
Mzuzu, Malawi hiyo?
Mzuzu, Malawi hiyo?
Absolutely true!Hiyo kwa FF bado ni gharama kwa kukodi trecta. Zake alizozoea ni pesa ya ubani na mkeka wa kuazima-mtu anabebwa.
Inategemea na nafasi ya mtu
Mzuzu, Malawi hiyo?
jamaaa ni mkulima... Walipendeza na kilimo kwanza yao but huku kwetu hata deva tax atataka akodiwe benz shit!!!!!!!!!!!!!!!!!