Harusi ya kiwango

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
HARAUSI.jpg

Hakuna sababu ya kuingia gharama zisizo za lazima wakati uwezo wako na nafasi yako inakuruhusu kiwango hiki, hapajaharibika neno maana kila hali imeonyesha kukidhi hadhi.
 
jamaaa ni mkulima... Walipendeza na kilimo kwanza yao but huku kwetu hata deva tax atataka akodiwe benz shit!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
umeona hilo trecta lilivyo pouwa njoo tz
yale wanayojidai ni matila power sijui kilimo kwanza
blablablaaaa mabovuuu

jamaaa ni mkulima... Walipendeza na kilimo kwanza yao but huku kwetu hata deva tax atataka akodiwe benz shit!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom