Sabung'ori
JF-Expert Member
- Jul 19, 2011
- 2,166
- 1,247
Harusi ya kukata kwa shoka inafanyika leo Mwanza katika uwanja wa CCM kirumba.Waalikwa zaidi ya 2500 ama zaidi wanataraji kuudhulia,kwaufupu inasemekana itakuwa na-wageni kutoka KenyaUganda,DRC nk. Nami ni mmoja wa wageni waalikwa na nnapotuma porst hii niko kwenye gari 'costa' iliyobebeba familia ya bibi harusi tunaelekea CCM Kirumba kwenye eneo la tukio.Anayeoa ni bwana MAHAMOUD IBRAHIM CHACHA,huyu ni kijana wa tajiri maalufu hapa jijini anayejishughulisha na uvuvi na usafirishaji wa abiria ktk ziwa victoria yaani anamiliki meli kadhaa,anajulikana kwa jina la KITANA CHACHA.Biharusi ni binti wa mtaani anatwa REHEMA YUSUPH SONGORA.Hii ndo ratiba ya sherehe :.

08.00pm walikwa kuingia ukumbin

08.20pm wazazi wa bwana harusi kuigia ukumbin

08.40pm wazazi wa b'harusi kuingia ukumbin

08.45pm Mwenyekiti wa kamati kufungua sherehe

08.55pm Burudan 'RITUNGU' Tarime Jazz Band

09.00pm Maharusi kukata keki

09.10pm Burudan 'Dogoli' VIJANA NGOMA DOGOLI

09.20pm Kufungua Champagne

09.40pm Burudan'show maalum'

09.50pm Utambulisho

10.00pm Burudan Tarime Jazz Band

10.10pm Nasaha

10.20pm Burudan AKUDO BAND

10.40pm Chakula

11.00pm Burudan 'Kihaya' TWEIJUNA NGOMA ASILI

11.30pm Zawadi

11.40pm Burudan TRI IN ONE

11.45pm Kufungua Muziki

12.00pm Muziki 'wote'

12.15pm Maharusi kuondoka

12.30pm Burudani (kwa vikundi na Band zote kuendelea kutoa burudan hadi juma pili saa 08.00am.INGEPENDEZA SANA KAMA NGETUMA POST HII IKIWA NA PICHA lakin Sitaweza na NAOMBA mniwie radha kwa kuto-watumia picha coz natumia simu ambayo uwezo wake ni mdogo ila nitaendelea kuwalete habari kadri ya matukio yanavyotokea.KAMA KUNA MWANA JF YUKO KTK sherehe hii na ananyenzo za kuweza kutuma picha plz nisaidie kutuma picha.