Harusi ya kihistoria inafanyika leo mwanza

Sabung'ori

JF-Expert Member
Jul 19, 2011
2,166
1,247
Harusi ya kukata kwa shoka inafanyika leo Mwanza katika uwanja wa CCM kirumba.Waalikwa zaidi ya 2500 ama zaidi wanataraji kuudhulia,kwaufupu inasemekana itakuwa na-wageni kutoka KenyaUganda,DRC nk. Nami ni mmoja wa wageni waalikwa na nnapotuma porst hii niko kwenye gari 'costa' iliyobebeba familia ya bibi harusi tunaelekea CCM Kirumba kwenye eneo la tukio.Anayeoa ni bwana MAHAMOUD IBRAHIM CHACHA,huyu ni kijana wa tajiri maalufu hapa jijini anayejishughulisha na uvuvi na usafirishaji wa abiria ktk ziwa victoria yaani anamiliki meli kadhaa,anajulikana kwa jina la KITANA CHACHA.Biharusi ni binti wa mtaani anatwa REHEMA YUSUPH SONGORA.Hii ndo ratiba ya sherehe :.

08.00pm walikwa kuingia ukumbin

08.20pm wazazi wa bwana harusi kuigia ukumbin

08.40pm wazazi wa b'harusi kuingia ukumbin

08.45pm Mwenyekiti wa kamati kufungua sherehe

08.55pm Burudan 'RITUNGU' Tarime Jazz Band

09.00pm Maharusi kukata keki

09.10pm Burudan 'Dogoli' VIJANA NGOMA DOGOLI

09.20pm Kufungua Champagne

09.40pm Burudan'show maalum'

09.50pm Utambulisho

10.00pm Burudan Tarime Jazz Band

10.10pm Nasaha

10.20pm Burudan AKUDO BAND

10.40pm Chakula

11.00pm Burudan 'Kihaya' TWEIJUNA NGOMA ASILI

11.30pm Zawadi

11.40pm Burudan TRI IN ONE

11.45pm Kufungua Muziki

12.00pm Muziki 'wote'

12.15pm Maharusi kuondoka

12.30pm Burudani (kwa vikundi na Band zote kuendelea kutoa burudan hadi juma pili saa 08.00am.INGEPENDEZA SANA KAMA NGETUMA POST HII IKIWA NA PICHA lakin Sitaweza na NAOMBA mniwie radha kwa kuto-watumia picha coz natumia simu ambayo uwezo wake ni mdogo ila nitaendelea kuwalete habari kadri ya matukio yanavyotokea.KAMA KUNA MWANA JF YUKO KTK sherehe hii na ananyenzo za kuweza kutuma picha plz nisaidie kutuma picha.

Kitana yule bado hajaoa? Mhhh kaaazi kweli kweli! Wageni wanaongea lugha gani? I hope si mmoja ya watu waliojimilikisha baadhi ya visiwa vidogo vya lake victoria na amejenga shule aliyesoma huko pia.

Na mimi niko kwenye harusi ya kukatwa na shoka, bwana harusi kavaa glavu za masumbwi bin ndondi bin ngumi, na bibi harusi kavaa magwanda meupe ya karate na kiunoni ana black belt

Na mimi niko kwenye harusi ya kukatwa na shoka, bwana harusi kavaa glavu za masumbwi bin ndondi bin ngumi, na bibi harusi kavaa magwanda meupe ya karate na kiunoni ana black belt

Hiyo arusi ya kusadikika

Na mimi niko kwenye harusi ya kukatwa na shoka, bwana harusi kavaa glavu za masumbwi bin ndondi bin ngumi, na bibi harusi kavaa magwanda meupe ya karate na kiunoni ana black belt

mnh hushindwi?

Historia unayoongelea wewe ni ipi?,watu wangapi wameoa leo nchi nzima?,je humu JF hakuna hoja za msingi kufuatilia zaidi ya hiyo harusi?...wewe kale na ushibe kihistoria kama unavyoamini sisi wacha tufuatilie msiba wa ndugu zetu zanzibar!

...habari zaidi,kati ya wageni walio udhulia, namwana mbunge wa Nyamagana Mh.WENJE,mbunge wa Ilemela Mh HINES,mea,diwan wa kata wa Kitangiri Mh Matata.Vinywaji na vyakula ni vyakutosha...

Historia unayoongelea wewe ni ipi?,watu wangapi wameoa leo nchi nzima?,je humu JF hakuna hoja za msingi kufuatilia zaidi ya hiyo harusi?...wewe kale na ushibe kihistoria kama unavyoamini sisi wacha tufuatilie msiba wa ndugu zetu zanzibar!
Mkuu hili ni jukwaa la utani huna haja ya kumshutumu mtoa mada

Historia unayoongelea wewe ni ipi?,watu wangapi wameoa leo nchi nzima?,je humu JF hakuna hoja za msingi kufuatilia zaidi ya hiyo harusi?...wewe kale na ushibe kihistoria kama unavyoamini sisi wacha tufuatilie msiba wa ndugu zetu zanzibar!

...ni kweli harusi zinazo-fanyika nchin siku ya leo b'shaka ni nyingi sana ila mi nmekupen habari ya hii moja inayofanyika hapa Mwanza,kama wewe unauwezo wa kutujulisha hizo nyingine ruksa.Hivi haya mambo muhim ni yapi?,sidhan kama kuna mambo muhim amboyo hayausu maisha na maisha ya mwanadam yanaanza pale anapozaliwa,na binadam awezi kupatikana bila mke na mme kungana(kuona).Yaliyotokea Zanzibar ni msiba wa taifa,tumezipoke taharifa hizo kwa masikitiko makubwa sana,tanawapa pole wafiwa na tunamwomba Mwenyezi Mungu awape moyo wa subira na azilaze nyoyo za marehem mahalipema pepon amin.BWANA ALITOA NA BWANA AMETWA,JINA LA BWANA LIIDIMIWE

Samahani lakini kwa ulivyoelezea cjaona cha ajabu au kwa nn hyo harusi its worthy ur time and this thread,naomba kuuliza umuhimu wa hii thread ni nn?

Jamani aliowambia watu wakifika dunia inasimama ni nani?ukweli ni kwamba hata wakifa watu 10milllion kwa wakati mmoja shughuli za dunia zinaendelea kama kawaida otherwise uwe na uwezo wa kusimamisha jua au mwezi ..kwa hiyo acha watu waendelee kufaidi life yao kama kawaida..kuna watu wengine bara ukiwauliza habari za zanzibar hawajui hata moja,wanaona kama ni nchi nyingine vile kama ilivyo kenya ,uganda..etc.

Samahani lakini kwa ulivyoelezea cjaona cha ajabu au kwa nn hyo harusi its worthy ur time and this thread,naomba kuuliza umuhimu wa hii thread ni nn?

...umuhim wa hii thread ni kujulisha wana-JF tukio linalotokea hapa Mwanza,kama haujaona jambo la ajabu leo basi ujue utaliona kesho coz dunia yetu ni-yamaajabu,na maajabu hayaishi kutokea!

...habari juu ya habari,wakati AKUDO BAND aka WAZEE WA MASAUTI wanamwaga radhi Ngereja kama kawaida yake kachomoa fyuz,watu ahaaaaaa kigaza limechukua nafasi yake but mafundi wako mitamboni jenereta imeanza kunguruma...

Back
Top Bottom