Harusi ya Jerry Muro iligharimu milioni 62, thamani ya pete Dola 1,800, Suti Taxido

mbona million 62 kwa harusi ni pesa kidogo sana,wabongo sijui vip! kila kitu ni kulalamika ni kama vile hizo pesa mlichanga,amjui kama harusi ni kitu muhimu sana na zilikuwa toka zamani,kama uwezo unaruhusu acha watumie kama kwako auwezi tulia tu

mkuu ni mawazo tu ni mtazamo tu usijenge chuki.!
 
Hiyo mipango ya mungu bwana, from what I know she is half race.

Kwa uzoefu wangu mdogo nilionao kuhusu wanawake machotara au wanawake weupe kupindukia, hiyo ndoa haitafika mbali, labda jamaa akubali umume *****!
 
Kwa hiyo bado anapanga?
Sasa harusi pesa yote hiyo lakini hata nyumba hana, kweli hapa kuna tatizo!
Sidhani kama kichwa chake kiko sawa!

ndio upuuzi wa ngozi nyeusi, Harusi millioni 62 halafu nyumba ya kupanga, wakati millioni 20 unafanya harusi nzuri kabisa.
Ni upuuzi na ukosefu wa akili tu kutamba kwa upuuzi kama huo halafu unafukuzia rushwa za millioni 10. shwain zake.
 
Kapanga kunduchi mtongani..nyumba ina vyumba viwili na sebule kuna nyumba nne kwenye compound moja..kuamini hii ya 62m ni ujinga na haiwezekani..
 
Alioa malaika au ni hawa wanawake wa siku hizi?? Jerry atakuwa mchagga pori(chasaka). Huo c mtaji wa kutosha kabisa??
 
Mnatikiwa muelewe kwamba hizo hela zote hajatoa yeye hela nyingi imetolewa kama ufadhili kupitia kadi alizogawa hvyo asingeweza kuchukua hyo hela kujengea nyumba wala kufanyia mtaji coz ilikuwa imechangwa na watu kwa ajili ya harusi hyo harusi alisema ilikuwa na watu watu zaidi ya 1700 milion tano zingetosha? Hata ingekuwa mil 500 kama watu wanachanga wenyewe kuna ubaya?
 
Kuna vitu mtu akijisifia uwa nasema apelekwe mirembe achekiwe...hivi harusi ikigharimu mil.62 then inakusaidia nini? Upendo ndio uwa mkubwa? Ndio ndoa itadumu? Ndio matatizo yatapungua? Huu ni upunguani.
 
Cha kushangaza huyu mtangazaji alikuwa bench huku akikabiliwa na Kesi ya rushwa. Jamani source ni yeye mwenyewe anahojiwa kipindi cha Mboni Talkshow EATV[/QUOTE

Namkumbuka sana Mr Ebbo (RIP) aliwahi kuimba wimbo unaitwa SIFA ZA KIJINGA
 
Dawa ni kukimbia na michango tu unaenda kujengea na unaoa kimya kimya atakaye kufuata unamwonyesha nyumba na kumshukuru kwa kukusaidia kujenga nyumba watasema weeeeeee mwisho watachoka na upepo utapita tu
 
Wabongo bwana !! Ukiwaambia wachangie elimu utatukanwa sanaa lakini mambo ya anasa utawapata wengi tu.
Sasa wakichangia elimu watapata maneno ya kuikosoa serikali wapi wakati unajua, kunapokuwa hakuna vitabu, madawati vifaa vya maabara n.k. ndio wale wanapata pa kusemea kuwa serikali dhaifu. So bora watu wachangie harusi kuliko elimu maana watu wakichangia elimu then mambo yakawa shwari walimu wataridhika hivyo itasababisha wengine hasa waleeeeeeeeeeee! kukosa kula ya pale magogoni wenyewe wanapaita m4c.

Najiuliza hivi kama Wanyaru hivi sasa kuna kampeni ya kuchangia Bajeti yao baada ya waleee!!! kukata misaada, nimesiikia kila mwananchi lazima achangie kwa kaya masikini wanaanzia Frw 300. Hivi ingekuwa kwetu watu waleeeeeeeeee na waleeeeeeeee na wa kule ng'ambo wa kuamshwa wangekubali kweli? Si ndio ingekuwa chachandu ya kampeni ya kuleeeeeeeeee:yawn::yawn:. wakimalizia si unaona tulisema .....................
 
Back
Top Bottom