Harusi ya Jerry Muro iligharimu milioni 62, thamani ya pete Dola 1,800, Suti Taxido

ndio upuuzi wa ngozi nyeusi, Harusi millioni 62 halafu nyumba ya kupanga, wakati millioni 20 unafanya harusi nzuri kabisa.
Ni upuuzi na ukosefu wa akili tu kutamba kwa upuuzi kama huo halafu unafukuzia rushwa za millioni 10. shwain zake.

Unaongelea milioni 20 wakati unaweza kabisa kufanya harusi ya milioni 5 na usipungukiwe chochote kile. Alikuwa amepanga mbezi beach kwa mbowe sijui kama alihama.
 
Jamani mimi nilibahatika kuzamia hiyo harusi, kwa jinsi mambo yalivyokuwa top class top life, estimates zangu ilikuwa ni harusi ya milioni 100!. Kumbe iligharimu Sh. milioni 62 tuu!. Hivyo basi kuna vitu kibao vitakuwa vilikuwa ni vya offer!.

Yale ma vintage wines na ma whisky ya Black Label, Gold Label na Blue Label ya kumwaga, halafu uje usikie kumbe ni milioni 62 tuu, lazima ujiulize!.

Saa hizi najuta, si unajua mambo yetu wazamiaji tunavyojua kufakamia!, mimi nilichomoka na mzinga wa black label nikidhani nimewakomoa, kumbe ningejua, ningechomoka na blue lebel kabisa!.
 
ndio upuuzi wa ngozi nyeusi, Harusi millioni 62 halafu nyumba ya kupanga, wakati millioni 20 unafanya harusi nzuri kabisa.
Ni upuuzi na ukosefu wa akili tu kutamba kwa upuuzi kama huo halafu unafukuzia rushwa za millioni 10. shwain zake.
milioni ishirini harusi tu? acheni ujinga!!! mm sijaoa kwa harusi kubwa,,,siku ya kufunga ndoa nilienda chachi kama kawa kisha baada ya hapo tukafanya ka-family party ambacha hakakugharimu hata M1..Mpaka sasa niko na mke wangu peacefully..nina nyumba ya kuishi maeneo ya NJIRO kwa msola na gari ya kutembelea,,sijawahi kulosti kiasi cha kukosa namna ya kuishi..ila jamaa zangu waliofunga harusi za kifahari wengi huwa nakutana nao mjini ni choka mbaya ingawa sio wote..kuna mmoja hata leo kanipiga mzinga wa buku kumi! na ni juzi tu alifanya harusi ya m18 acheni sifa jamani..TZ ni nchi maskini sana,,,kama hatuna pa kuzipeleka hizo hela tuchangie M4C..binafsi huwa sichangiagi harusi.
 
Ila bongo kwa mtu maarufu kama yeye ni kidogo sana. Kuna Dean of student UDSM-Business school aliifanya ya mwanaye mwaka jana iligharimu zaidi ya milioni 100 na bado michango mingine waliikataa

Umeisahau na ile ya Mama Muhaya Mushumbusi ya pale Mlimani City?
Alikuwa anaoza mwanae ambae alimtafutia mke baada ya watu kumsakama mwanae sio rijali?
Harusi iligharimu Milioni 258!!!,
Magari ya kusindikiza maharusi yalikuwa 20,farasi,trafiki na mengineo.
Wageni 3500!!,
na tulikula mpaka vingine tulibeba.
Kabla ya kuondoka unapewa chupa ya red wine kama asante.
Ila nasikia,nimesema nasikia,Mwanaume anakesha ma-Club kama vile hajaoa.

Halafu mnasema Tz Maskini,maskini jiambie wewe mwenyewe hapo.
 
Huyo mama atakuwa fisadi au namna nyingine ya kuwaibia wabongo
 
umeisahau na ile ya mama muhaya mushumbusi ya pale mlimani city?
Alikuwa anaoza mwanae ambae alimtafutia mke baada ya watu kumsakama mwanae sio rijali?
Harusi iligharimu milioni 258!!!,
magari ya kusindikiza maharusi yalikuwa 20,farasi,trafiki na mengineo.
Wageni 3500!!,
na tulikula mpaka vingine tulibeba.
Kabla ya kuondoka unapewa chupa ya red wine kama asante.
Ila nasikia,nimesema nasikia,mwanaume anakesha ma-club kama vile hajaoa.

Halafu mnasema tz maskini,maskini jiambie wewe mwenyewe hapo.
sifa za kijinga
 
Ila bongo kwa mtu maarufu kama yeye ni kidogo sana. Kuna Dean of student UDSM-Business school aliifanya ya mwanaye mwaka jana iligharimu zaidi ya milioni 100 na bado michango mingine waliikataa
tofautisha kati ya umaarufu na pesa hapa bongo,mara nyingi wabongo umaarufu wao hauendani na pesa walizonazo. Ni ujinga kufunga harusi ya milioni 62 huku unaishi nyumba ya kupanga eti kisa mwanamke shombeshombe.!!
 
Ni kweli mkuu,umaaru na pesa ni kama mafuta na maji,havifatani daima.
Hv unamkumbuka yule aliekuwa anajiita pedeshee Kin**?
Enzi zake alikuwa anamwaga pesa kwa wanamuziki.
Sasa hvi amefilisika mpaka kamkimbia mkewe naye kaenda kuishi kwa dada yake Mbezi.
 
Harusi na nyumba ni vitu viwili tofauti,hela ya harusi inavyopatikana ni tofauti na hela ya nyumba.Kwa position aliyopo Jerry Murro(maarufu) kufunga harusi ya gharama ni jambo la kawaida.anajuana na watu wengi wakubwa ambayo tunaweza sema ndio wanamuweka mjini sasa wewe ulitaka awaalike kwenye harusi ya mil 20 eti kwa sabab hana nyumba nzuri?au kwa sabab anakaa kwenye nyumba ya kawaida? Kila mtu ana malengo na kama alivyosema mwenyewe alipanga hii kitu for two years so kama amefanikiwa kufanya yake na wewe fanya yako.unajua ana plans gani kuhusu nyumba au gari?kesho akisema ana nyumba ya mil 600 utakuja tena hapa JF na kuandika kingine, kila mtu afight kivyake yeye kama kaiba na wew kaibe ufunge harusi yako ya mil 100 wakikudaka imekula kwako...thats all!
 
  • Thanks
Reactions: GP
mbona million 62 kwa harusi ni pesa kidogo sana,wabongo sijui vip! kila kitu ni kulalamika ni kama vile hizo pesa mlichanga,amjui kama harusi ni kitu muhimu sana na zilikuwa toka zamani,kama uwezo unaruhusu acha watumie kama kwako auwezi tulia tu
 
milioni ishirini harusi tu? acheni ujinga!!! mm sijaoa kwa harusi kubwa,,,siku ya kufunga ndoa nilienda chachi kama kawa kisha baada ya hapo tukafanya ka-family party ambacha hakakugharimu hata M1..Mpaka sasa niko na mke wangu peacefully..nina nyumba ya kuishi maeneo ya NJIRO kwa msola na gari ya kutembelea,,sijawahi kulosti kiasi cha kukosa namna ya kuishi..

Jimegee bab wenyewe wameanzisha thread!.....
 
Back
Top Bottom