Harusi ya burn ni jumamosi hii-19/12/2009 mchekini shemeji yetu

So burn u cheated on me?? Ninapingamizi jamani, na kwa nini tangazo halikutoka siku nyingi?

my babylove, cheat on you?that never gonna happen, kwanza tusiwape faida watu kwa kumwaga mtama kwenye kuku wengi, twende zetu chemba.
 
my babylove, cheat on you?that never gonna happen, kwanza tusiwape faida watu kwa kumwaga mtama kwenye kuku wengi, twende zetu chemba.
Mmmmmh! Burn sasa kama shemeji yuko hapa kama guest harusi itaingia doa kaka. Stop it
 
Am doing fine baby. Nimeshiba pasipo kwenda lunch. Please dont go chemba na huyo bwana harusi mtarajiwa. Let me hold you baby. Hahahahaha

with all due respects brau, unampotosha shemeji yako..mimi nina nafasi ya kuoa wake wanne, shauri yenu ambao hamkulizingatia hili mlipochagua imani.
 
with all due respects brau, unampotosha shemeji yako..mimi nina nafasi ya kuoa wake wanne, shauri yenu ambao hamkulizingatia hili mlipochagua imani.
Hivi eeh!! Ili nalo neno kweli
 
Ni shule my love ina nibana ila naingiaga kama guest na nilisoma s/where unaona karibuni hongera. Msalimie Chrispin na ZD.

1-pole sana na shule.ANGALIZO:usichanganye shule na boksi,UTAFELI.

2-hiyo red-ndio maana idadi ya guests imekuwa nyingi,kumbe na wewe unaiongeza:D

3-hiyo blue-ninaona?kwani mimi ni kipofu?nani amekudanganya mimi sioni?watu wabaya sana eeh!?
 
Sasa Nguli,
Hapa anaonekana kama anakuja, akiwa anakwenda anaonekana je?
 
1-pole sana na shule.ANGALIZO:usichanganye shule na boksi,UTAFELI.

2-hiyo red-ndio maana idadi ya guests imekuwa nyingi,kumbe na wewe unaiongeza:D

3-hiyo blue-ninaona?kwani mimi ni kipofu?nani amekudanganya mimi sioni?watu wabaya sana eeh!?

Asante kwa ushauri nilimaanisha unaoa, kwaherini huku bado siku mbichi naenda class. Nawatakia harusi njema.
 
Nilimpa deal ya nguo ya shemeji yenu huyo dizaina wenu Idarius kachemsha tena amenijulisha sasa hivi, sasa akina dada nipeni ushauri pahala pakupata pamba za wifi yenu kabla ya sato.

Hizo pisto ni nomaaaaa
 
Back
Top Bottom