2013
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 11,358
- 6,059
nimekuwa nikishuhudia harusi nyingi ambapo wanaume tu ndio wanaopendeza, . kinachopelekea hali hii ni mkorogo ulipita kiasi na kupelekea hata sura ya huyo mwanamke isiwe natural look, na ikawa mchina hivi, especialy kama mwanamke ni mweusi na bwana ni mweupe kwa rangi. hapa kwenye sekta ya reception ambapo upakaji wanja, lipstic na mafuta usoni na mchanganyiko mwingineo unakuwa too much mpaka anakuwa kama mcheza ngoma za kienyeji hivi. na mwonekano wake mpya unapelekea kama ulikuwa unamjua bibi harusi, umwone ni mgeni machoni na yule uliyekuwa unamfahamu kabla. pengine wana jamvi ningeomba maoni yenu kwenye hili jambo.
View attachment 126323
View attachment 126323