harusi nyingi wanawake hawapendezi ukilinganisha na wanaume

2013

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
11,358
6,059
nimekuwa nikishuhudia harusi nyingi ambapo wanaume tu ndio wanaopendeza, . kinachopelekea hali hii ni mkorogo ulipita kiasi na kupelekea hata sura ya huyo mwanamke isiwe natural look, na ikawa mchina hivi, especialy kama mwanamke ni mweusi na bwana ni mweupe kwa rangi. hapa kwenye sekta ya reception ambapo upakaji wanja, lipstic na mafuta usoni na mchanganyiko mwingineo unakuwa too much mpaka anakuwa kama mcheza ngoma za kienyeji hivi. na mwonekano wake mpya unapelekea kama ulikuwa unamjua bibi harusi, umwone ni mgeni machoni na yule uliyekuwa unamfahamu kabla. pengine wana jamvi ningeomba maoni yenu kwenye hili jambo.

View attachment 126323
 
Nikweli kabisa hawapendez sanasana usoni, mtu ana harusi mwez ujao uso unaandaliwa kama vile ni lami inajengwa makorokoro kibao. Tatizo sio ma bi harusi hao wapambaji na mashangaz nk. Ila jitaidini muwe simple. Biharusi wa kwenye picha afananii hata kidogo na wa kesho yake mchana.
 
Kila kazi ina professional wake tatizo nipale unapoanza kujifanya unajua jinsi ya kuchanganya make up while hujui chochote matokeo yake ya mwisho inaanza na yamwanzo ndo unaimalizia.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
hahahahahhh...nimempenda bwanaharusi kwenye picha...tatzo kwenye harusi wadada tunajazwa vipozi vingi mpaka uhalisia unapotea..sasa usiombee uson kuwe na mafuta mengi majasho yakiaza kutoka michilizi kama matuta ya viazi..
 
ila wengine wanaojali nature yao hupendeza sana..kwaupande wa mavazi tunataka kuvaa kama fulan au nguo ya bei bila kuangalia umbo lako kama linaendana na hiyo nguo.kiatu kirefu mpaka unashindwa kutembea...
 
Ni kweli, maana utaona mwanamke anajichubua kupita kiasi na kupaka mavi/hina mwilini kuongeza uchafu zaidi wa taswira.
 
hili la vipodozi hasa harusi za tanzania ndio unakuta make up inazidi hadi mtu anakuwa anachukiza. ila nimeona harusi za wenzetu hata hapo kenya tu, bibi harusi anakuwa simple tu na vipodozo vya kawaida ambavyo havimbadilishi sana sura yake. hata hivyo nadhan pia ni maamuzi yamtu kama hupendi vipodozi sana wanakuweka vile vya kawaida tu.
 
Harusi za zamani hizo ambazo bi harusi akiwa anarembwa hafungui mdomo na anachofanyiwa ndicho,wa siku hizi akikuona mpambaji hueleweki anaomba mwenyewe make up set na anatoka poa tu.
 
Harusi za zamani hizo ambazo bi harusi akiwa anarembwa hafungui mdomo na anachofanyiwa ndicho,wa siku hizi akikuona mpambaji hueleweki anaomba mwenyewe make up set na anatoka poa tu.

Nice avatar
umependeza
 
Mimi niko gizani kabisa, sasa kwenye picha hiyo nani hasa kapendeza? Mwanaume naona kama vile yuko msibani au ni macho yangu?
 
Back
Top Bottom