Harusi ni harusi hata bila kuvaa shela! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Harusi ni harusi hata bila kuvaa shela!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Pape, Nov 11, 2009.

 1. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 2. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Mbona wanatia huruma? hawacheki? walilazimishwa kuuoana?
   
 3. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #3
  Nov 11, 2009
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Mkuu hujaangalia vema, wana tabasamu pana sana! Au wewe huoni?
   
 4. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Sidhani kama hii ni harusi,wako kama mafande fulani wamegradyueti sasa wanapongezwa.
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Wahimtimu wa Mgambo!
  Si unajua ni dili la hatari ukiwa mgambo wa jiji!
   
 6. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  wapi mdau, basi tu furaha wanaijua wao wenyewe!
   
 7. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #7
  Nov 11, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Harusi nzuri sana hii, walichokosa tabasamu, lakini ndoa zenyewe za siku hizi tabasamu la kazi gani bwana wakati masumbwi yanaanzia honeymoon
   
 8. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kwani ndoa ya mashamushamu ni nini?ujue wengi tunafunga ndoa za gharama at the end of the day unabaki na madeni bilaa,mimi nimeipenda hii sana japo ni kijijini lakini km town ukipiga normal pamba,then shida nini! tunachanga.Nimeefanya utafiti kwa mda wa miezi sita ujue kwa dsm pekee kwa week ni average ya 600,000,000 imagine kila week, tena huu utafiti nimeufanya si kiundani yaweza kuwa zaidi ya hapo! tungeweka ktk mambo muhimu zaidi!ebu jiulize umechangia sh ngapi za harusi kwa mwka huu pekee?n aumefaidika vipi na una matatizo yapi ya wewe mwenyewe kutatua?
   
 9. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #9
  Nov 11, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Nimeangalia VEMA na sawia kuna kitu hii picha inaelezea zaidi.
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Nov 11, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,578
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  Kweli hawa watu wana mawazo mazito kila mmoja anawaza lake
   
 11. GP

  GP JF-Expert Member

  #11
  Nov 11, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hawa jamaa wamekaa KIKAKSI!!!
   
 12. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #12
  Nov 11, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Nini hicho,hebu tuelezee.Kama ni harusi hawa lazima wamefumaniwa sasa wamelazimishwa waoane,hawawezi nuna jinsi hii
   
 13. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #13
  Nov 11, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  walikuwa wanawaza kinachofuata baada ya ndoa!
   
 14. s

  shabanimzungu Senior Member

  #14
  Nov 11, 2009
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 182
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  gays?
   
 15. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #15
  Nov 11, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Wacheke kwani Wamarekani hao?
   
 16. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #16
  Nov 11, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135

  Bro bana, ina maana wamarekani ndio wenye copyright ya kucheka? tena ukiwangaalia kwa karibu utahisi wanafanana.
   
 17. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #17
  Nov 11, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Wamarekani ndio kucheka mandatory katika picha, hata kama mtu kakasirika kabla ya kupigwa picha utawasikia "say cheese!". Tangu watoto wadogo wanafundishwa ni lazima ku smile kwenye picha regardless of how you feel, fake smiles and fake optimism.

  Sasa watu wanaoana, wana anxiety, hawajui maisha ya ndoa yataoffer nini, partly wako optimistic, partly hawajui kitakachotokea, faces zina super neutral expressions.Precisely the correct expression if you ask me.

  Tatizo tushazoea fiction za plastic smiles tukipewa nyuso za watu wanavyojisikia kweli tunaona there is something wrong.

  Wengine wameona hii picha iko real kwa sababu haina shela na vimbwanga vya materialism, mimi naenda one step further, hii harusi iko real zaidi kwa sababu haina hata a plastic smile.

  As real as it gets, hawajenda kwa wedding planner wala nini hao.

  Yaani kama unazielewa expression za kibongo hizo expression hapo juu ni epitomy ya heshima na unyenyekevu, hawa waliona muhimu zaidi ku portray heshima na unyenyekevu katika picha yao ya harusi kuliko furaha.

  First of all utafurahi vipi kikweli katika nchi ya mafisadi kama na wewe si fisadi? And by the looks they hardly fit the fisadi bill.
   
 18. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #18
  Nov 11, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Nimecheka hadi basi kwa vile nimelinganisha na picha yenyewe..... sasa kama walikuwa hawajui what future hold for their marriage why did they go for it?
   
 19. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #19
  Nov 11, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Do you know the outcome of everything you engage in? Unapotoka nyumbani asubuhi kwenda kazini unajua kwamba utafika?

  Nataka ufikirie kwa makini nini maana ya neno kujua kabla ya kujibu.
   
 20. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #20
  Nov 11, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135

  For me God believer,

  I belive and hope nitafika kazini salama, naamini kila kitu chema kinatoka kwa Mungu na kibaya kwa shetani. Since niko chini ya ulinzi wa super being i.e GOD nitafika salama.(najua hatutaelewana hapo ila ni fikra na imani zangu.)
   
Loading...