Harusi New York City na CHALLA, Sumbawanga

misnomer

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
201
69
Furaha zinatofautiana?

wedding-in-challa-sumbawanga.jpg


wedding-in-new-york-city.jpg

 
unajikuna mkono unapofika ndugu yangu ila jamani sasa kweli nikipata kijana wa hii harusi ya pili kwa nini nisikumwage maskini maisha yenyewe hayajirudii
 
Hapo juu,bibi harusi kashonesha nguo kwa fundi hamis mjomba'ke na mwantumu...hakuna presha ya kuagiza nguo UK wala Dubai.. Na mwisho siku full enjoyment. Na mume ndo keshamuweka kiganjan...chezeyaaa..
 
Huyo Bwana Harusi wa Uswazi anaenda kupigana?Naona kama ameshika vitu vyenye ncha kali!!!!
 
Muhimu ktk maisha ni kufurahia (happiness), haijalishi una suti, ndala, unaishi NYC, Sumbawanga, nk.
 
Hicho kijiji cha CHALA nakijua ni mojawapo ya vijiji maarufu sana Wilayani NKASI na sio Sumbawanga. ni mojawapo ya vijiji vikongwe sana ila kuna upepo wa kufa mtu maana wapo karibu na mlima fulani halafu miti yote wlishafyeka
NIMEONA HIYO PICHA IMENIKUMBUSHA MBALI SANA
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom