unajikuna mkono unapofika ndugu yangu ila jamani sasa kweli nikipata kijana wa hii harusi ya pili kwa nini nisikumwage maskini maisha yenyewe hayajirudii
Hapo juu,bibi harusi kashonesha nguo kwa fundi hamis mjomba'ke na mwantumu...hakuna presha ya kuagiza nguo UK wala Dubai.. Na mwisho siku full enjoyment. Na mume ndo keshamuweka kiganjan...chezeyaaa..
Hicho kijiji cha CHALA nakijua ni mojawapo ya vijiji maarufu sana Wilayani NKASI na sio Sumbawanga. ni mojawapo ya vijiji vikongwe sana ila kuna upepo wa kufa mtu maana wapo karibu na mlima fulani halafu miti yote wlishafyeka
NIMEONA HIYO PICHA IMENIKUMBUSHA MBALI SANA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.