Haruna Niyonzima amesaini AS Vita Club ya kongo.

Njemba Soro.

JF-Expert Member
Oct 5, 2013
3,246
5,756
Kwa mujibu wa UFM radio ni kwamba aliyekuwa mchezaji wa simba na mkataba wake kumalizika msimu ulioisha, Haruna Niyonzima, raia wa Rwanda amesaini mkataba na club ya AS Vita ya Congo kwa dau la $40000.
Simba sijui wamefeli wapi kuachana na mchezaji muhimu kama Haruna Niyonzima.
 
Ajabu asingekubali pesa hiyo Bongo. Shamba la bibi
 
Tatizo Simba wamemsajili Ajibu ili kuikomoa Yanga. Wamemwacha Niyonzima. Ajibu mpumbavu kweli. Simba walimtema kama big G.Wamemchukua tena. Acha season ijayo watamtema tena.
 
Aende tu maana kwa sasa mbumbumbu fc kipaumbele chao ni wachezaji wa mafungu na wabeba ngada toka brazil
 
Huyo haruna amekataa hizo fedha simba anaenda kupokea hizohizo as vita,sijui alifikiri kuna timu itatoa hela zaidi ili kumsajili
 
Kwa mujibu wa UFM radio ni kwamba aliyekuwa mchezaji wa simba na mkataba wake kumalizika msimu ulioisha, Haruna Niyonzima, raia wa Rwanda amesaini mkataba na club ya AS Vita ya Congo kwa dau la $40000.
Simba sijui wamefeli wapi kuachana na mchezaji muhimu kama Haruna Niyonzima.
Mwaka huu mnachokitafuta Simba mtakipata
 
Tatizo Simba wamemsajili Ajibu ili kuikomoa Yanga. Wamemwacha Niyonzima. Ajibu mpumbavu kweli. Simba walimtema kama big G.Wamemchukua tena. Acha season ijayo watamtema tena.
Ukiachana na kuwakomoa omba omba

Ajibu ni fundi sana Dada; japo ana kadhi ya ziada ya kujihakikishia namba: mbele ya kina shibob, kahata, mkude
 
Back
Top Bottom