Kwanini watanzania mna roho mbaya ya kuombeana mabaya?Hahahahahahaha ilikuwa zamani, lakini sasa
Biashara imeshaisha hapo. Kama ni muda basi ni saa 12 jioni.
Nakataa. Huyu si Haruna Moshi Boban!amechoka
Sheikh amri Abedi A town wanavuta bangi.
mwenye kofia ni Nurdin Bakari
Naona kuna jamaa hapo anaandaa chakula ili kiliwe
mwenye kofia ni Nurdin Bakari
Ile timu ya U23 walicheza na Kaseja Juma, daaah kweli no situation is permanent.Naona kuna jamaa hapo anaandaa chakula ili kiliwe
2014 nilimuona Tabora daa nurdin alikuwa kaisha kwa kayaaa ....nilisikia Rhino walimpa mkataba ila nidhamu ikawa ndogo
mwenye kofia ni Nurdin Bakari
Baba Sandra
mwenye kofia ni Nurdin Bakari
Sio kweiBoban ataijutia ile nafasi aliyopata Swiden maisha yake yote..
Ukweli upi?,hakuwa na nafasi ya kuwika kule?Sio kwei