Harufu ya viungo vya uzazi!!!

Waulize watu wa Katanga, Zambia huko, ndo watakwambia uzuri. Hata mwanamke awe mzuri vipi kama hatoi PAFYUMU husika ya kutosha huyo hana soko. Inatakiwa Akichojoa tuuu, chumba zima limesheheni Manukato Original, Hapo kwao BARIDAAAAAAA!!!!!!1

Tembea uone!
 
Ndiyo nasikia kuwa kuna pafyum yenye harufu ya viungo vya uzazi! mmmmh ni kweli tembea uone na kusikia
 
Imekua ngumu kwangu kuamini matumizi ya pafyum za harufu ya viungo vya uzazi kuleta hisia za mapenzi! mnaonaje wanajf?

Hapa ngeli haijapanda vizuri, hebu fafanua;

1. Yaani hiyo perfume inapulizwa kwenye kiungo cha uzazi, au inapulizwa mwilini lakini harufu yake ni kama kiungo cha uzazi?
2. Hivi viungo vya uzazi vina harufu maalum/fixed/known au vinatofautiana !! :confused2:
 
Ngoja nikatembelee katanga!

Back
Top Bottom