Harufu ya Soksi Chafu ni mtego wa MBU

Mpui Lyazumbi

JF-Expert Member
Sep 1, 2010
1,856
371
Wakuu umefanyika utafiti Tanzania na inaonyesha kuwa harufu mbaya ya soksi chafu ni mtego bomba kabisa wa kunasia mbu. Mtego huo una uwezo mkubwa mara 4 zaidi ya mitego ya "kawaida". Hivyo basi ni wazi malaria haikubaliki kirahisi kabisa. Source VoA.
 
aargh kuna jamaa alikuwa hafui soksi bana, jirani tulipoishi kuna mzee mlemavu wa macho siku kapita katukuta kijiweni tumekaa akatusalimia na yeye akaunga maongezi pale. km dk kumi kupita mshkaji mwenye miguu kunuka si akatia timu pale ile kasimama tu hata hajaongea yule mzee akamuita daudi! akaitika akamwamkia tukabaki tunashangaa kajuaje huyu ni daudi. mzee akatia daudi wewe hata ukiwa mita kumi najua kabisa ni wewe maana shombo ya kiatu chako hapa mtaani kila mtu analijua aiseeee jamaa nusura apasuke hasira lkn hiyo ilikuwa dawa tosha kabisa tokea hapo jamaa alikuwa msafi mnooo
 
Soksi za mshikaji wetu zilikuwa zinanuka, akiingia gheto na demu inabidi apige game bila kuvua viatu. Akivua tu viatu akiwa yuko na binti lazima uhusiano ufike tamati.
 
Back
Top Bottom