Harufu ya asili ya mwanamke ni very Romantic kuliko ya kujipulizia pafyumu

mkuu nadhani haya maelezo yako yatawasaidia wengine wenye tatizo hilo ila huyu wa kwangu sina mpango wa kuongea nae chochote
Tatizo la kikwapa na kunuka mdomo ni Jambo ambalo inahitaji guts kumwambia mtu hata kama ni mtu wa karibu, reaction yake Mara nyingi sio nzuri, na Mara nyingi wahusika huwa hawajui kama Wana tatizo hilo, Kuna ambao wanajua kuwa ni harufu zao za asili.

In summary, harufu ya asili ya mtu, hakuna iliyo mbaya, na kutokana na life style za watu wengi hawajui harufu zao za asili na hata za wenzi wao.
 
Ni kweli kabisa
 
Tafuta kibonge halafu ulete mrejesho na hio halafu Natural
Hata kibonge ana harufu natural, Kuna harufu ya jasho na harufu natural ukiona harufu ni mbaya, ujue Kuna tatizo. Hizi harufu natural za maumbile zina matumizi yake katika mwili kama ilivyo viungo vingine.

Kuna kitu inaitwa heat kwa wanyama wa kike na binadamu anayo pia, na kwa wanyama hii harufu natural ndio inayo attract dume. Kwa mwanamke pia hii harufu ipo, na huwa inakuwa inampa raha mwanaume anayoisikia wakati mwanamke anapokuwa extremely arousing. Tatizo, kutokana na lifestyle zetu, marashi tunayotumia, tunavyokutana na wenzi wetu, wengi hawajawahi kupata hii kitu. Trust me, if you encounter this scenario once utafurahia uumbaji wa Mungu kabisa.
 
Back
Top Bottom