Harufu ya asili ya mwanamke ni very Romantic kuliko ya kujipulizia pafyumu

Ni kweli, na wanawake wasionyoa kule chini wananukia vizuri zaidi.
 
Kwa kweli wanawake hii kitu ngoja niwaambie zile harufu zenu ambazo huwa mnatoa kabla hamjajipulizia pafyumu huwa zinaleta hamasa kubwa sana ya mapenzi kuliko hayo mapafyumu ya gharama mnayojipulizia

Kwa kifupi nikikaa na demu ambaye hajajipulizia pafyumu kile kiharufu chake kinachotoka huwa kinanivutia sana yani kuliko nikikaa na demu anayenukia pafyumu.
Mimi mwanamke awe ananukia unyunyu wa maana huwa nadata,mana nami napenda kunukia...sio dem ananuka harufu ya moshi wa kuni
 
Naam,hata mimi najipenda wakati mwingine kujisikia nanukia kiasili...so sweeeeeeet indeed.
Kwenye hii mada ndio tutajua watu wanaowafaidi wenza wao, kwani ukiweza kutofautisha Kati ya harufu ya asili ya mwenza wako na Ile ya jasho lake, hapo ni mwanzo wa kula raha duniani.
 
Hayaa.. unaweza kuta hata mumewe hakipendi ila anavumilia tu. Kama rafiki yako mtembelee ili kama kipo umwambia akishughulikie! Unaweza kushangaa umeokoa ndoa ya Watu na ukapata mibaraka tele.

Kwa mfano Asprin ni rafiki yangu lakini nilikuwa nakerwa na tabia yake ya kuimba kwa sauti akilewa, nikamchana siku moja akaacha
Hahahaaha aisee we jamaa umefaulu kunichekesha msibani....

Yaani nshautwika u- K Vant wangu afu nache kuimba "No one can stop reggae" ????
 
Aisee we mjuba kuna mademu wana harufu mbaya kuna demu nafanya nae kazi dah mungu anisamehe yani ana kiarufu hataree kiukweli kile kiarufu uwa kinanikwaza sana kuna kipindi alikuwa anajipulizia pafyumu lkn akaja kuacha sasa nilikuwa naisoma no
 
Shukrani mkuu, tatizo kwa sasa tunaishi mbalimbali... Sijui kama tatizo bado lipo au la. Nitaanzaje kumwambia?
Treatment yako ni kujipaka ndimu au limao kwenye kwapa anapoooga na pia kuogea sabuni zile za lemon, hii iambatane na kutumia deodorant ya far lemon. Tatizo linakwisha kabisa
 
Treatment yako ni kujipaka ndimu au limao kwenye kwapa anapoooga na pia kuogea sabuni zile za lemon, hii iambatane na kutumia deodorant ya far lemon. Tatizo linakwisha kabisa
Shukrani
 
Ila Kuna suala la nguo anazovaa inatakiwa aanze kuvaa nguo ambazo ni 100% cotton, nguo za polyester kwa sehemu yenye joto kama dsm, inaongeza tatizo. Pia, tatizo lingine, mwenye tatizo Hilo anatakiwa kunywa maji mengi wakati wote ili ku dilute jasho na hata urine yake.
 
mkuu nadhani haya maelezo yako yatawasaidia wengine wenye tatizo hilo ila huyu wa kwangu sina mpango wa kuongea nae chochote
 
Back
Top Bottom