Tatizo la kuwa na harufu mbaya kinywani (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri

STOP TAKING ALCOHOL!SO MANY RISKS ARE ATTACHED TO IT:
1. You may end up being addicted!
2. You may develop healthy complications, diabete, liver, kidney and digestive malfunctions
3. You may develop psyco mal behaviour!
4. Just leaving alone that, it may reduce your sexual capabilities.
 
Waungwana msaada demu kachomoa nisimkisi Kisa nanukia pombe nimekula bia kadhaa tumeingia gheto kakataa anakwepesha mdomo nimepiga mswaki bado harufu aiishi nifanyeje?kama kua Dawa ya kutafuna kupuliza nk nk msaada
Kula mavi!
 
tafuna tangawizi au iliki hata kama unakunywa muda wa kazi ucwe na wasiwasi unakuwa mpyaa.itaka kumaliza kabisa na upoteze ukali wa iliki.tafuna hiyo iliki pamoja na big G.mwisho wa matatizo ya harufu..' dont drink and drive'
 
Kula ndizi mbivu 3 tu. Baas!

Kunywa majimengi mkuu

Kula ndizi mbivu aina ya visukari

Pipi kifua

Sent from my EyePhone

Kula mavi!

tumia ice cream

Vuta unga. Unayumba tu hata harufu hutoi
kwa ushauri huu na mwingine unaozidi kumiminika kama tatizo litaendelea utakuwa mkono wa mtu!!
 
Leo hii mdomo unanauka, kesho mashine itashindwa kwenda mnara...acha pombe!!

acha kunywa kaka ndo dawa sahihi.

Acha kunywa mlimbwende atakuruhusu kumkiss kila siku iendayo kwa Mungu.

STOP TAKING ALCOHOL!SO MANY RISKS ARE ATTACHED TO IT:
1. You may end up being addicted!
2. You may develop healthy complications, diabete, liver, kidney and digestive malfunctions
3. You may develop psyco mal behaviour!
4. Just leaving alone that, it may reduce your sexual capabilities.

Dawa yake ni kuacha pombe na hiyo harufu itatoweka kabisa

Acha ujinga dawa acha pombe

watu wanakuonea huruma sana usiwaangushe!!
Ikifikia hapo naomba nipewe tenda!
ila usipo wasikiliza jamaa kajitolea kukusaidia ubavu hali ikishakushinda!!
 
tafuna tangawizi au iliki hata kama unakunywa muda wa kazi ucwe na wasiwasi unakuwa mpyaa.itaka kumaliza kabisa na upoteze ukali wa iliki.tafuna hiyo iliki pamoja na big G.mwisho wa matatizo ya harufu..' dont drink and drive'

Kwel mkuu hyo kimambo ndo muzuka
 
Mbn mnanisema sana mbn nyie mnapenda starehe zenu tuacheni tuaokunywa tunywee kwa raha zeetuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom