Harrison Kapiga tafadhali usipotoshe watu kwenye suala la kusifia watu wakiwa hai

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,183
11,200
Kuna Jambo linaendelea clouds media ktk vipindi vyao wameanzisha msemo usimsifie MTU akiwa amekufa msifie akiwa hai.

Kiuhalisia huyu Kapiga ndie anaonekana yupo mbele ktk kusema msifie MTU kabla hajafa. Mm naona ni unafikiri na kujikomba na mwisho wahiki amekianzisha kitamletea maadui wengi pasipo sababu ya msingi.
Labda turudi ktk mambo ya kisaikolojia juu ya Kwa nini watu wengi maisha Yao husheherekewa Zaid akiwa amekufa na sio before hajafa.

Huyu mtangazaji hakuwi taratibu za dunia wala saikolojia ndio maana anaanzisha kitu asichojuwa tena mbaya kuliko yote anasahau Kuwa yeye ni Mch na ktk mahali panatufundisha maisha ya watu yalisheherekewa Zaid wakiwa makaburini na sio wakiwa hai.

Yesu ambaye ndie ana muhubiri ndie mwanadam alie ishi kama panya dunian na kusulubiwa pale msalabani ila mwisho baada yakuondoka dunian ndipo watu wakaanza kumtukuza nakusema makuu yake. Jambo lakushangaza kabisa pale msalabani lilitokea wakati roho anakata ndipo Kwa mara ya Kwanza Mmoja wa Askari alie Kuwa akimsulubu alikiri hakika huyu alikuwa mwana wa Mungu. Dunia mzima leo tuna adhimisha siku ya kuzaliwa na kufa kwake na hata kupaa.

Leo mwanadam alie Kuwa akidharaulika na kuonekana kama mdudu leo hata nyayo zake watu wanazigombania na kuuwana nadhan unaona kinacho onekena mashariki ya Kati. Kapiga anayajuwa haya ila bado anapotosha Kwa tamaa zake zakujikomba.

Mitume wote hawakuishi maisha ya kutukuka waliishi maisha ya shida na umasikini mkubwa ila leo dunia ina wahubiri nakuyasema mazuri waliyafanya. MTU kama Stefano aliuwawa Kwa mawe ila akaacha ushuhuda mpaka leo unatufundisha nguvu kusamehe.

Mitume Muhammad ambaye ndugu zetu waislam wanamuwabudu alikuwa na maisha ya wanadam kama Sisi ila ni mpaka alipo kufa ndipo mafundisho yake yakawaka kama Moto mioyoni mwa watu. Alitukuzwa Zaid baada yakuondoka dunian I.

Nataka kumeambia Kapiga hakukuna mnafiki ila asije kujiona yeye ndie mnafiki na atavuna anacho kipanda labda nimkumbushe Martin Luther king haikuwa maarufu akiwa hai walimchukia Sana ila leo masanamu yake na minara yake na maneno yake mpaka na siku yakusherekea maisha yake ipo why huwo ndio utaratibu na hekima za dunia.

Kiongoza mkubwa wa kIdini ya Kikristo kabla hajafa akasema mbegu lazima ife ndipo imee tena SASA Kapiga hiyo hekima yako yakujifanya wengine wanafiki wewe mwerevu itakuumbuwa maana mbegu lazima ife ndipo imee tena hapa ina Manisha kama ukifa utamea tena mioyoni mwa watu na sio ukiwa hai. Ukiwa hai unakuwa nao ktk mwili. Jambo lingine ambalo lipo ktk moyo wa mwanadam aliye kamilifu kamwe hapendi utukufu na sifa akiwa hai hii ni principal govern all human being. Nahapa ndipo radio yenu na wewe mwenyewe mtajikuta ktk mtihani. MTU anaye jitambuwe hapendi kusifiwa akiwa hai ila anafurahia kaz amezifanya.

Mfano Jana kwenye kipindi chako jmos mlimsifia Getruda Mongela Jambo niliwaona hamjitambui na mnapima kina cha maji cha watu msio wajuwa nikumsifia MTU bila kujuwa kuna walio mchaguwa na sio kwamba ndio alikuwa special no kuna mamlaka zinateuwa zile nafasi nikama nafasi za ubunge zakuteuliwa na Rais. Una ambiwa type MTU hii zam ya nchi yako SASA nyie mnapotosha acheni wenye KAZI zao watatoa wasifu ktk taratibu nzuri nyie mtapotosha na mwisho mtapigwa fine kubwa siku Kwa kujifanya niwabunifu Sana kumbe hamna huwo uwezo.

Bios za viongozi wa kitaifa zinapitiwa na kuratibiwa na watu maalumu Je hiyo history ya Getruda mlipewa na nani?
 
Sijabahatika kukisikiliza wala kukitazama kipindi chake ili nione wamejikita kwenye eneo gani hasa.

Mfano ni kwenye uongozi, mchango wao walivyogusa maisha ya watu, kitaaluma, n.k
Ikiwa ni hivyo na ulinganifu au upatikanaji wa hizo taarifa uko katika utaratibu wa kueleweka na taarifa ni za uhakika, sioni tatizo.

Ndio maana tuna tuzo za MO, Nobel n.k

Ila kama ni mtazamo wa watu wachache au mtu binafsi kwa maslahi binafsi, hapo kutakua na tatizo.
 
Back
Top Bottom