Harris Kapiga Ana Makelele Kwenye Kipindi cha Temino

Mtangazaji
Pastor
Motivation speaker
MC wa harusi etc
Lingine aibu kulisema......wadau wameligusia
 
Wakuu hivi huyu jamaa ana mishe gani mjini nje ya utangazaji, naona watu wanamsifia sana na yeye kutwa kuchwa kwenye utangazaji wake anawaponda vijana.
Au ndiyo mojawapo ta motivational speaker
Ni mtangazi
Ni Mc
Ni mchungaji
Ni motivational speaker .
Alikuwa ni mlezi wa walimu wanafunzi katika chuo cha DUCE waliokuwa chini ya mwamvuli wa ( volunteering teachers ) .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Wakuu hivi huyu jamaa ana mishe gani mjini nje ya utangazaji, naona watu wanamsifia sana na yeye kutwa kuchwa kwenye utangazaji wake anawaponda vijana.
Au ndiyo mojawapo ta motivational speaker
Shoga huyu nilipokua nasoma saint mary mbez alikua ana mchezo wakutongozs wanafunzi ,pia alipatwa na kashfa yakumtongozs mpiga picha wa zaman wa diamond kifesi na alionyesha mpaka meseji za mahaba alizokua anatumiwa na kapiga
 
Mchungaji ana kanisa linaitwa nchi ya ahadi anavuna sadaka liko mapinga amechukua eneo kubwa.
 
Afadhali umeandika maana Leo nilikuwa namsikiliza hapa nikashindwa kuelewa mbona anaongea kishabiki na makelele ingali content ya kipindi ni nzuri Ila hawatoi nafasi kwa wanaowahoji kuongea vya kutosha.

Pia wanapiga makelele zaidi kushinda hata waliyemwalika kwenye kipindi na kuna fala mmoja anaongea nae sijui ni nani anaongea Kama shoga kipindi Cha kipumbavu sana.

Halafu nae amekaa Kama choko. Apunguze makelele atulie kipindi kina content nzuri aache ujingaujinga
Hata hivo ni choko
 
Shoga huyu nilipokua nasoma saint mary mbez alikua ana mchezo wakutongozs wanafunzi ,pia alipatwa na kashfa yakumtongozs mpiga picha wa zaman wa diamond kifesi na alionyesha mpaka meseji za mahaba alizokua anatumiwa na kapiga
Hii niliona aisee
 
Afadhali umeandika maana Leo nilikuwa namsikiliza hapa nikashindwa kuelewa mbona anaongea kishabiki na makelele ingali content ya kipindi ni nzuri Ila hawatoi nafasi kwa wanaowahoji kuongea vya kutosha.

Pia wanapiga makelele zaidi kushinda hata waliyemwalika kwenye kipindi na kuna fala mmoja anaongea nae sijui ni nani anaongea Kama shoga kipindi Cha kipumbavu sana.

Halafu nae amekaa Kama choko. Apunguze makelele atulie kipindi kina content nzuri aache ujingaujinga
nilijua kuna kitu lazima kitajwe, na kimetajwa, woiiiiiiiiih
 
Zembwela Baba levo Mwijaku Kapiga
Hawa vijana 🏳️‍🌈🏳️‍🌈🏳️‍🌈🏳️‍🌈
 
Back
Top Bottom