Harrier Vs Klugger ipi achukue?

Twilumba

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
11,540
12,398
Wakuu kuna mdau yupo kwenye IST ila kwa sasa anataka abadili kutoka IST hadi kumiliki kati ya Harrier au Klugger.

Kwa namna ambavyo wajuzi mpo humu naomba tumsaidie mdau, je ni gari gani kati ya hizo mbili yaani Harrier na Klugger achukue.

Comparison iwe based kwenye shape, nafasi, durability, price, fuel consumptions, spare parts and service costs etc.

Asante.
 
Bora achukue Vanguard!
gari ya nyumbani tu hiyo. kama ni mtu wa kazi na safari gari isiyo na tairi la akiba (spare tire) si sahihi. ukipata bust kubwa(tairi kuchanika) unapata shida sana
 
Back
Top Bottom