Maoni yangu kuhusu gari aina ya Harrier maarufu "Tako la Nyani"

Sasa Vanguard nayo si ina engine ya harrier pia hata chassy itakuwa ni ya harrier bila shaka. Nadhani hata performance hazitapishana sana.
Kwa hiyo mkuu unashauri nichukue ipi Kati ya Harrier "Tako la Nyani" vs RAV4 L?
 
Control engine ilipata shida
Niliipeleka wakaniambia tatizo control engine dah!
hakuna kitu kinachoitwa control engine na wewe....!!

thread za magari, mafundi na madalali siku zote ni za wasioenda shule... 90% wanaongelea spidi, highway ziko wapi za kwenda spidi, Fire - Kimara kupitia Manzese sokoni? Imagine mtu anaanzisha thread hata hajui gari anazoziongelea ni za miaka gani, model sub model gani, jina rasmi gani, hajui!

Utasikia Prado Mayai, Land Cruiser Daimondi, Fuso Tandamu, Tako la Nyani, Macho ya Panzi, Raum New Model... Gari second generation unaiita new model wakati kuna matoleo matatu katikati?

Hivi wateja wenu ambao hawatokei mitaani uswekeni huko, washua wa Masaki na wadosi wa Upanga ukimwambia tako la nyani mtaelewana? Utamwelezaje wakati hujui Year, Make, Model and Sub Model ya gari?
 
thread za magari, mafundi na madalali siku zote ni za wasioenda shule... 90% wanaongelea spidi, highway ziko wapi za kwenda spidi, Fire - Kimara kupitia Manzese sokoni? Imagine mtu anaanzisha thread hata hajui gari anazoziongelea ni za miaka gani, model sub model gani, jina rasmi gani, hajui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeitumia kwa miaka 2..speed ikifika 110 hivi inatulia kabisa inawezekana ndo maana watu wanapata ajali make unasahau kama gari inatembea....
Wanaoikataa labda mafuta yamewafundisha adabu. Gari inaweza kuwa na cc kubwa ila ikala wese kidogo kutokana na mfumo wake na uzito.
Pia muwe mnacomment wamiliki wa magari wa miaka mingi sio mnaoazima gari kwa wiki 1 hamjui magari wala shida zake.
Nakereka sana na mtu anaendesha gari la mshikaji au la ndugu au ni dalali wa magari anajidai kujua magari
 
Back
Top Bottom