Harmorapa amerudi tena, anataka kumlipia Babu Tale Milion 250 anazodaiwa

MumbaZ

Senior Member
Jan 28, 2018
133
124
Harmorapa msanii wa kiki mjini, baada ya kukaa muda mrefu amekuja na style hii akiwakejeli WASAFI kwa kushindwa kumlipia meneja wao Babu Tale pesa anazodaiwa mpaka kwenye kesi yake. Sasa katoa video akiongelea kuwa anataka kumsaidia BABU TALE MAANA wasafi wanahanya.

 
ha hahaa ..ila Hawa Jamaa si wanasemaga kuwa wana pesa"" sasa mbona wanamuacha Jamaa yao adharilike hivi aisee..""
 
Show off tu zile mkuu. Si unajua wanapenda sana kujiona wao wa tofauti
mtihani sana "" ...kwahiyo wanawaonaga" watu wanaoficha mafaniko yao ni wajinga "" daaahh haya balaa hilo alie nalo tu"" hapo hata kama atatoka "* lakini lazima aweke"" bond nyumba yake ili aweze kukopeshwa hizo pesa ..hakuna mtu wakumpa kiasi chote hicho bure bure tu""".....hiyo ndio ile aliyosema pr.jay " unapiga hatua 10 mbele"" unarudi nyuma kwenye mbili nakujipongeza...."""
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom