Harmonize sio poa kutafuta Kiki kupitia kifo Cha Mhe Magufuli

Kwakweli kesho tutaona mengi πŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈπŸƒπŸ»β€β™€οΈ
Hiyo kwenye avatar ni picture yako?
 
Huyu kijana sasa hiv naona ameanza kuvuka mipaka ya Kiki sio mbaya kufanya Kiki lakini fanya Kiki za maana kwa namna moja au nyingine zitakazoweza kusaidia kupush kazi zako lakini hii ya kujirecord unalimlilia marehemu Magufuli alafu unapost kwenye account yako ya social media unawakosea heshima watanzania unaleta mambo ya bongo movie kwenye msiba mzito wa Taifa.Mtu gani mwenye uchungu anapata wasaa wakujirecodi na kutuma kwenye social media ebu badilika kijana.

You sound like timu mondi dizaini ok
giphy.gif
 
Back
Top Bottom