Harmonize siku hizi havai mashati kwenye video zake

Yaani siku hizi ukiangalia nyimbo nyingi za harmonize hakuna kipya utakachokiona zaida ya mtu anaimba huku amezungukwa na wanawake.

Halafu yupo kifua wazi hakuna ubunifu wa mavazi, style inaonekana jamaa chini ya label yake anaamua kila kitu yeye mwenyewe.
Uliyepost mwnywe lengo lako tuone nn labda au tugundue nn
Basi haya umeshaweka uzi hongera umeshinda
 
Pamoja na JF kubadiri muonekano lkn bado wewe ni stagnant...!

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
[/QUOTE]
 
Six packs mzeee kama una kitambi lazima uumie,
Hujachelewa zama Gym watoto wazuri wanataka kuona mistari mistari kwa tumbo,

Lol.

Boost your Immune System to fight a Covid-19.:
Mjomba kazana kukesha gym kutengeneza hizo pingili ukadhan eti wanawake ndo wanapenda, wenzako wako bize kusaka pesa na wanahonga balaa..Mwanamke yake pesa tu, sixpack utapiga nazo pic ...tusake pesa,na vingine tutazidishiwa
 
Achilia mbali kutikuvaa nguo,yaan video nying usipomkuta kitandan bac n kweny sofaa,na hii n kwa wanamuzik wengi wa kitz,cjui ndo creatity yq location imekuwa shida?
 
Mjomba kazana kukesha gym kutengeneza hizo pingili ukadhan eti wanawake ndo wanapenda, wenzako wako bize kusaka pesa na wanahonga balaa..Mwanamke yake pesa tu, sixpack utapiga nazo pic ...tusake pesa,na vingine tutazidishiwa
Usikariri ndugu, wanawake wanajali sana muonekano, wewe unatoa pesa sie tunamega kisela, analipia hotel na bills zote kwa pesa uliyomuhonga wewe.

Nguvu ya Six Packs
 
Yaani siku hizi ukiangalia nyimbo nyingi za harmonize hakuna kipya utakachokiona zaida ya mtu anaimba huku amezungukwa na wanawake.

Halafu yupo kifua wazi hakuna ubunifu wa mavazi, style inaonekana jamaa chini ya label yake anaamua kila kitu yeye mwenyewe.
Ushamba mzigo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom