Harmonize safari yake kwenye mziki anategemea kushuka kwa Ali kiba

fatherhood

JF-Expert Member
Apr 22, 2021
530
551
Habar wana JF

Mimi cha kwanza kabisa sina team kwenye mziki wetu kibongo bongo ila napenda mziki mzuri. Nimeutafakari mziki anaofanya Rajabu kahali maarufu kama Harmonize nikagundua kwa sasa anategemea sana bifu la na Diamond platnumz kuliko ubora wa mziki wake. Hii ina maana kwamba Harmonize bila kushindanishwa na Diamond Platnumz hata kwa wiki mbili tu hii itapelekea kupokea kwake , na ndio maana mara nyingi Harmonize huwa anapita mule mule ambapo Diamond Platnumz anapita ili tu ashindanishwe nae.

Wana jf itakumbukwa kuwa Diamond Platnumz na Alikiba ni wahasimu wakubwa kwa miaka kazaa jambo ambalo kwa kiasi kikubwa inawafaidisha wote kuwa kwenye game kwa muda mrefu.

Sasa kuwepo kwa Harmonize kama mhasimu mwengine kwa Diamond Platnumz kulipelekea sitofahamu juu ya hasimu halali wa Diamond platnumz kwa sasa , kwa hiyo kuendelea bifu la Diamond Platnumz na Alikiba lina adhari kubwa kwenye mziki wa harmonize.
Mfano mzuri wana JF wiki kama mbili baada ya Alikiba kutoa back to back ya ndombolo na salute , ilipelekea upepo wa harmonize kupotea just imagine kama Alikiba atakuwa anatoa back to back siku zote.

Hii itepekea watu kuwashindanisha Alikiba na Diamond Platnumz hivyo kupelekea Harmonize kusaulika hivyo basi Harmonize anategemea kwa kiasi kikubwa kushuka kwa Alikiba ili asikike

Napenda kumfananisha Harmonize kama Azam FC kwenye upande wa michezo kwa AZAM Fc kwa kiasi kikubwa hutegemea kuaribikiwa kwa Yanga au Simba
 
Mfano mzuri Diamond walivyomtambulisha Zuchu kesho yake harmonize akamtambulisha ibra, Diamond alipoenda kufanya show Ethiopia na yeye akatangaza ataenda kufanya show Ethiopia, Diamond alivyotoa Ngoma hivi karibuni na yeye pia katoa Ngoma Huu sasa ni upuuzi mbona Kiba kaleta upinzani kwa mondi kipindi kile bila Huu upuuzi the end of the day anakuwa mtumwa wa mondi sasa hiv pia anasubiri mondi atoe album yake na yeye atoe
 
Mfano mzuri Diamond walivyomtambulisha Zuchu kesho yake harmonize akamtambulisha ibra, Diamond alipoenda kufanya show Ethiopia na yeye akatangaza ataenda kufanya show Ethiopia, Diamond alivyotoa Ngoma hivi karibuni na yeye pia katoa Ngoma Huu sasa ni upuuzi mbona Kiba kaleta upinzani kwa mondi kipindi kile bila Huu upuuzi the end of the day anakuwa mtumwa wa mondi sasa hiv pia anasubiri mondi atoe album yeke na yeye atoe
😂😂 Konde aangalie asije akatia aibu mwishoni, saizi kupata show tu ni ishu achilia mbali views,
 
Haya ulichoandika hapa ni kama umecopy tu kutoka kwenye huu uzi
 
game imeshajitune kwamba side b ya diamond plutnumz ni ally kiba.
ndio maana hata akitoa utopolo lazima nyumba ya wcb wafarakane.

harmonize anatakiwa atambue hili kwanza,akiingia miguu yote kuoambana na mond,atafeli.
yeye ashike njia yake,maana siri ameonekana anazijua.
 
Mkuu hivyo, hivyo nyingi sana....!! Konde boy anaonekana ana stress Sana ,
 
Back
Top Bottom