herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 1,962
- 3,189
Hata tekashi69 ni international artist, kila la kheri kwa mmakonde, anachofeli ni kuwaaminisha mashabiki zake kuwa kunawatu wanapambana wamshushe nanyi mnamuamin, ikiwa media zoote zpo nae isipokuwa Wasafi tu (ikiwa kipindi tofauti na alichopitia Boss wake wa zaman ktk kutafuta upenyo kufika hapo alipo)Mnapambana Sana kumpoteza harmonize but nawahakikishia haitowezekana sababu njia zote za kufanikiwa kimuziki harmonize anazijua. Kibaya zaidi watanzania nao wanashangilia wakati tunatakiwa kuwa na international artist wengi
Je n vp hao watu wanapambana kumshusha ikiwa mashabiki zake mtaamua kumsaport...?