idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,312
Akihojiwa na Clouds FM kwenye XXL amesema imemlazimu kulipa million 500 ili kuvunja mkaba na Kampuni ya Wasafi.
Amesema kampuni ya Wasafi walimzuia kutumia chochote kilichotokana na Wasafi ikiwemo jina la Harmonize, nyimbo zake, akaunti za mitandao ya kijamii na mengineyo.
Ili kuendelea kutumia nyimbo hizo imemlazima kulipa milion 500, amesema kuwa ameuza nyumba zake tatu na baadhi ya aseti na yupo kwenye hatua za kumalizia deni lake ili aweze kupiga nyimbo zake popote pale.
Kuhusu kugombea ubunge amesema kauli ya Rais ni kama sheria hivyo yupo tayari kutekeleza agizo la mheshimiwa.
2020 Harmonize mjengoni.!
Ameongeza kuwa ugomvi wa Vyombo vya habari unarudisha mziki nyuma.
Amewekea mfano Whozu na Marioo kuwa ni wasanii ambao wanashindwa wasimame na media ipi.
Hapa inaonesha kuna wasanii wengi wanapenda kushirikiana Wasafi FM ila wanaogopa kutengwa na Clouds.