Kinengunengu
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 1,719
- 4,302
Pia inahusiana na kuchukua nyota yako. Huu ipo sana.Ni tendo la kukubaliana na anachosema mhusika! Ndio maana hata watu wakipatana hupeana mikono. Kwa muktadha wa tukio husika Harmo angekubali kutoa mkono angetangaza vita rasmi Mondi