Harmonize ni mbumbumbu wa sheria, mchanga wa mahusiano na mshamba bado wa umaarufu

Hao ukitumia busara hamtoelewana, afu wasanii wao wako overrated bila sababu na tatizo shule kama ulivosema sasa wamekosa vyote wamekosa elimu ya darasani na elimu ya mtaa, wenzao scandle kama hizo hata hawazizungumzii wanajikita kwenye kazi
 
Hivi @Mshana Jr unakumbuka mwanzo Bongo movie kufa ilianza skendo kama hizo magazeti ya kina shigongo yakauza weeee baadae wakabaki wanalia njaa na haitotokea Bongo movie wafikie hata hadhi ya michezo kama baragumu au mambo hayo kwa namna zilikua na mashabiki
Nakumbuka sana Arovera tena baadhi zilikuwa za kutengeneza kwa ajili ya kiki...sasa kiki gani hizi unajidhalilisha na kujiua kisanii? Shida iko kwenye ELIMU
 
Afadhali umeliona hilo, ujue kuna miaka hapo tulikua kwenye tuzo tunakimbizana na Nigeria hata nomination, baada ya kuanza ujinga Nigeria wako mbali mno, South wametakeover na amapiano yao, wasipokaziwa hawa mbumbumbu wanaua Bongofleva iliyojengwa kwa jasho na damu, Machozi, jasho na damu
 
Nakumbuka sana Arovera tena baadhi zilikuwa za kutengeneza kwa ajili ya kiki...sasa kiki gani hizi unajidhalilisha na kujiua kisanii? Shida iko kwenye ELIMU

Hasa unawapa ushauri hawa pimbi wanaanza kukunanga, watu wengine sio wasanii na wala hatutegemei kuingia studio, lakini madogo waelewe wao ni washamba wa jiji na kawaida Jiji ukilivamia litakuaibisha dakika sifuri
 
Nawaangalia tu nakuwasikitikia sana..unajua unapima kiwango cha weledi na ufahamu wa mtu kwa majibu yake
 
Ngoja nimsikilize Remmy Ongala hapa

Remmy ongara muziki asili yake wapi, unapata ladha za super matimila, unakonyeza kidogo usipate taabu neema ya rafiki yake, unaenjoy utunzi wa akina bichuka, Shabani dede, unatembea kidogo kusikiliza vocal za Tx moshi wiliam, ukipita kwa kina Kilwa jazz, vijana jazz, baadae unatembea kwa akina franco, huku ukiisikiliza leyle, unawapata akina wenge kidogo, unajimwaga kwa akina oliva mutukuzi hasa kwenye neria then unatafuta sehemu ya kupata nyama choma unaachana na wazushi akina harmo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom