Harmonize ni bora kuliko wote WCB nzima

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Jun 25, 2019
2,732
2,477
Oohhooo it's me agaaain! Comrade kipepe mzee wa nyika, KING OF THE JUNGLE! Leo teeeena nipo mitamboni hapa jf kwenye moja na mbili! Nateleeeeza kama nawinda swala

Hahaaha ebanaeeeee! Leo mzee mzima kipepe sijaenda kuwinda vitoweo nipo off nimepumzika home,nipo juu ya sofa kaliiii la mchina, pembeni nikiwa na glass ya maziwa ya nyati! Mbele ya upeo wa macho yangu naangalia tv flat screen inch 52, nacheki video kaliiiii ya Huyu mwana harmonize a.k.a mmakonde wa tandahimba!

Ebanaa jamaa anajua sana anaimba vizuri kuliko hata chai Jaba, nyimbo zinaeleweka yani ni full Ujumbe... Anakwambia NEVER! NEVER ! NEVAAAAAA GIVE UP!!

Ebana WCB inabebwa na huyu mwamba
 
Anaimba nini kwanza?si bora yule dadaake mwenye wcb queen wa wp sijui mashikolo mageni angalau anajitahidi.
 
Style ya Mond ndo imemtoa afu leo awe zaidi ya mondi....sema anapeperusha bendera ya wcb vizuri...by the way umeona ile nyomi ya sudan?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom