Harmonize kujiondoa WCB ni deal la kibiashara na Tigo Fiesta

Jimmy De Lite

JF-Expert Member
Jun 10, 2019
635
2,305
Hey Guys,

I Hope Mko Poa, Ryt?

Okay

Nimefuatilia hili sakata La Harmonize kujiondoa Hii lebo kubwa ya WCB halafu nikaangunisha na mwenendo wa Fiesta ulivyo kwa sasa nikagundua hapa kuna namna ya sisi mashabiki kuchezewa akili.

Ukiitazama Fiesta ilivyo mwenendo wake wa show za mwaka Jana utagundua kuwa ilipoteza mvuto Kutokana na ukosefu wa wasanii wenye mvuto kwa mashabiki kama Harmonize n.k. so nafikiria huu ni mpango ambao umepangwa kiaina flani hivi baada ya kuona Alikiba hana mvuto tena kwenye show za fiesta.

Nahisi Harmonize anatoka WCB kwa mipango kabisa ya Maboss hasa Sallam SK,Joseph kusaga na Diamond mwenyewe na sitoshangaa ukaribu kuendelea kuwepo ili Harmonize aendelee kuwepo kimziki, hapa Nahisi Harmonize haondoki WCB kama alivyo ondoka Mavoko,Bali Harmonize anaondoka WCB kimkakati wa kuirudisha Fiesta kwenye Chat, na Clouds walisubiri hili deal likamilike ndo waanze kutangaza show zao za fiesta wapi zitaanzia na vitu vingi kama hivyo.

Wadau tuendelee kumsupport Harmonize Hii ni Biashara tu.

Jimmy-Jay.
 
Wanachokifanya WCB sawa na jamaa unampa rafiki yako namba ajaribu mtongoza demu wako ukiamini hawezi mpata, ila galfa unashangaa jamaa demu kamtongoza kampata na penzi linanoga mpaka mimba mpaka ndoa na mtoto anazaliwa

Kinachofuata hapo ugovi hiki ndio kinachoenda kutoka kati ya uongozi wa WCB na jembe ni jembe wao wanamini wanafanya deal ila maslahi yakinoga upande wa jembe ni jembe atawageuka wenzake na uhasama utakuwa mikubwa sana
 
Ukiona hvo ujue kuna mikakati,WCB hawawez kumwachia Harmonize kirahis rahis kama hvo.
 
Hey Guys,,,

I Hope Mko Poa,,,Ryt??

Okay

Nimefuatilia hili sakata La Harmonize kujiondoa Hii lebo kubwa ya WCB halafu nikaangunisha na mwenendo wa Fiesta ulivyo kwa sasa nikagundua hapa kuna namna ya sisi mashabiki kuchezewa akili.

Ukiitazama Fiesta ilivyo mwenendo wake wa show za mwaka Jana utagundua kuwa ilipoteza mvuto Kutokana na ukosefu wa wasanii wenye mvuto kwa mashabiki kama Harmonize n,k,So nafikiria huu ni mpango ambao umepangwa kiaina flani hivi baada ya kuona Alikiba hana mvuto tena kwenye show za fiesta.

Nahisi Harmonize anatoka WCB kwa mipango kabisa ya Maboss hasa Sallam SK,Joseph kusaga na Diamond mwenyewe na sitoshangaa ukaribu kuendelea kuwepo ili Harmonize aendelee kuwepo kimziki,Hapa Nahisi Harmonize haondoki WCB kama alivyo ondoka Mavoko,Bali Harmonize anaondoka WCB kimkakati wa kuirudisha Fiesta kwenye Chat,Na clouds walisubiri hili deal likamilike ndo waanze kutangaza show zao za fiesta wapi zitaanzia na vitu vingi kama hivyo.

Wadau tuendelee kumsupport Harmonize Hii ni Biashara tu.

Jimmy-Jay.

kumbe unahisi???

umekosea
 
Wanachokifanya WCB sawa na jamaa unampa rafiki yako namba ajaribu mtongoza demu wako ukiamini hawezi mpata, ila galfa unashangaa jamaa demu kamtongoza kampata na penzi linanoga mpaka mimba mpaka ndoa na mtoto anazaliwa

Kinachofuata hapo ugovi hiki ndio kinachoenda kutoka kati ya uongozi wa WCB na jembe ni jembe wao wanamini wanafanya deal ila maslahi yakinoga upande wa jembe ni jembe atawageuka wenzake na uhasama utakuwa mikubwa sana
Bado mnawaza huu ujinga
 
Unapona post jaribu kuaangalia imepostiwa lini ili uweze kwenda na uhalisia, siyo uchangia tu hii post ni ya mwaka 2019 wewe unakuja chagia tu grow up
Nyie ni wApuuzi ...kwani me sijaona kama ni ya 2019..kwa hio mliona 2019 atapotea ndo mana nimecomment bado mnafikiria upuuzi au mlishapata akili...

Yani dume zima unakaa unawaza eti ataporomoka nadhani majibu mmeyapata sasa
 
Back
Top Bottom