Harmonize kuja na Carnival akishirikiana na TVE

B Dozen anaanza sasa kunyooka na clouds...
Wacha tushuhudie mtanange.
 
Piga kelele kwa konde ake, weuweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh
 
katangaza tu show ya mwezi wa 11 bado miezi 3 ila watu mnabonga shit kila jambo na changamoto yake illa watanzania tunalalamika sana
 
Twende mbele turudi nyuma hakuna mwenye chuki na kondeboi coz tamasha lake likiwa kubwa hadi uko kwa wenzetu waka appreciate hio ni sifa kubwa kwa taifa ila, tatizo konde ana mamb meng na yote anataka kuyafanya kwa mmoja mfano ndan huu mwez kamsain skales na bado ibra anahitaj promo na wakat huo ndan ya huu mwez anataka kusain wengine wawili na bado kuna tamasha kubwa na yy hana experience kweny game hii. NB:YETU MACHO MAKE WABONGO HAMCHELEWI KULETA HABARI ZA UCHAWI
are you sure hana experience kwa hii game??
 
Umesahau bado alisema atatoa album nyingine mwaka huu
Twende mbele turudi nyuma hakuna mwenye chuki na kondeboi coz tamasha lake likiwa kubwa hadi uko kwa wenzetu waka appreciate hio ni sifa kubwa kwa taifa ila, tatizo konde ana mamb meng na yote anataka kuyafanya kwa mmoja mfano ndan huu mwez kamsain skales na bado ibra anahitaj promo na wakat huo ndan ya huu mwez anataka kusain wengine wawili na bado kuna tamasha kubwa na yy hana experience kweny game hii. NB:YETU MACHO MAKE WABONGO HAMCHELEWI KULETA HABARI ZA UCHAWI
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Sioni mbaya akicopy Hilo wazo kwa Bhaghdad Cha msingi akifanye kwa ubora kuliko aliyemcopy isije tu baadae Hilo wazo kiliishia njiani Kama project zake nyingi zilivyoishia njiani
Sasa baghdad nae ana content gani ya kujaza siku tatu
 
Back
Top Bottom