Harmonize.I hope umejifunza tamaduni na tabia za wengine,usikurupuke

🤣🤣🤣🤣🤣Yaani unatoka kwenye shoo ya WASAFI wewe shabiki koo limekauka umechokaa.

Hoi bin taaban sauti hakuna halafu unaona video ya Dimondo anashukuru mashabiki kwa kujitokeza kwenye show yake ya jana wakati wewe hadi mitoki imekukamata...hatari sana
 
Tatizo watanzania wivu umewajaa mpaka unapitiza sasa kejeli namatusi yote ya nini wakati account zenu zinasoma zero balance yeye kishapiga hela za kufa mtu
 
Hivi kwani ilikuwaje maana kila saa naona thread tu kuwa wameharibu hebu wekeni kideo tuone otherwise haya ni maneno ya mkosaji tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hujawahinkuhudhuriabau kuona show za wasafi live?
Kuna peeformance yoyitw pale zaidi ya wao kuja kujisikiliza wenyewe in playback?
Nenda live show ya Judith Wambura Banana Zoro na bendi zote za music wa dance taaran ngoma za asili ndio utaelewa nini maana ya live show
Hasa hasa nenda bagamoyo kwa jhiko man .
Bongo fleva 90% hawawezi ns kammwe hswataweza live show .
1.nyimbo zso karibu zote zinatumia auto tune
2.wakipanda jukwaa wanaimba (mimic kuimba) in top of their voice kiasi kwamba sautu inakuwa hoarse mwishowe wanaishia kukushawishi audience uimbe kwa niaba yao.
3.hadithi nyingi kama vile wanafanya stand up comedy naweza rightl nikasema bongo fleva artists are musical clowns maana hawawezi kuwa musical comedian.
The different being Comedian acts witty whilst clowns acts stupid to make you laugh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom