Harmonize Huu ni muda wa kuungana Na Clouds (CMG),Utafika mbali Bro.

Mawingu yenyewe inapambana kujinusuru kuanguka.Ishapoteza mvuto kitaambo sasa wewe unataka wafu wakajizike labda
 
Hey Guys...

I Hope mko poa wakubwa,,,Ryt,,??

Okay Fresh

Najua watu wengi nikiwemo Mimi wanajiuliza,Je Ngoma za Harmonize zitaanza kupigwa Clouds baada ya kujitoa kwenye lebo ya hasimu wao?

Hilo swali wengi hatuna majibu.

Nakumbuka kipindi bifu la Diamond na Alikiba linaanza lilikuwa ni bifu kubwa sana Kutokana na ushindani ulio kuwepo,Clouds walijitahid kukuza bifu lile ili angalau kumpunguza nguvu Diamond,kweli kipindi cha mwanzoni lile bifu Nahisi Hata Mond Mwenyewe lilimtetemesha kidogo japo hakutaka kujionyesha wazi,

Hilo bifu liliendelelea ila mwisho wa siku mshindi alikuja kupatikana ambaye kila mmoja anamjua Ni Simba AKA Dangote,Moja ya sababu kubwa za Alikiba kushindwa ni Kutokana na mziki wake kutokuwa na ubunifu,pia utoaji wa nyimbo ukawa ni hafifu kwa madai kuwa nyimbo zake zina ishi so hawez kutoa track kila muda,Hali hiyo ilikuwa tofauti kwa upande wa pila ambaye ni mshindani wake,Diamond Platnumz,yeye aliamini kabisa mziki ni biashara na kama ni biashara lazima ahakikishe walaji wake (Mashabiki) kila baada ya muda flani awape Chakula kipya,Mtindo huo wa Alikiba ilifikia hatua Hata wanao msapoti waachane naye wakiwemo clouds wenyewe wakabaki wanamsapoti kishingo upande,

Mpaka Muda huu Mziki huu wa bongo hauna ushindani tena Bali wamebaki wale wanao mchukia Diamond na kujifanya eti wao ni team mziki mzuri (Team kiba).

Kwa mtazamo wangu hapo juu ni kuwa Harmonize kwa uwezo alionao ni kwamba ana uwezo kwa 70℅ kumtetelesha Diamond endapo akichanga karata zake vizuri,Harmonize anacho takiwa kufanya ni kuwa karibu na clouds na kwa uwezo alio nao wa kuimba na kuachia song back to back naona kabisa Clouds wanamhitaji Konde boy kuliko Alikiba,Alikiba hakuwa chaguo sahihi Bali Jamaa alibebwa na wanao mchukia Diamond ila hawakuwa mashabiki.

Simaanishi Harmonize Anaweza kuwa Sawa na Diamond ila akicheza vizuri Anaweza fika mbali coz Jamaa tayari ana connections na wasanii wengi kwa sasa tofauti na Rich mavoko aliye ondoka akiwa hajajijenga vizuri.

Harmonize Najua kwa Muda huu mfupi atayumba ila akichanga karata zake vizuri Anaweza kuwa mkubwa zaid ya alivyo kuwa WCB,Anacho takiwa kukifanya ni kusimama mwenyewe na kutumia njia zile alizo jifunza kwenye chuo (Lebo yake WCB).

Harmonize Hizo views ulizo kuwa unapata kule You tube hazikuwa zako Bali zilikuwa za Diamond so zisikuteteleshe na kukukatisha tamaa baada ya kuona zimepungua,Huu ni Muda wa kutengeneza views zako ili uone ukubwa wako.

Yaani watanzania wamefika hatua kuandika kitu na kuweka taarifa kama ni ya kweli

1.Nini chanzo cha ugomvi wa WCB na GMC?

2. Ushindi wa diamond kwa Clouds kashibda kitu gani hasa? maana mmiliki wa WCB na Clouds ni huyo huyo mmoja!
3.Una uhakika clouds walimpambanisha Kiba na diamond? na una uhakika saa hizi clouds hawampi support Kiba? (ili isiwe imekaa kama kijiwe support with evidence)

4. Kwa nini mindset yako ni kumpambanisha harmonize na diamond? yaani hilo ndilo lengo kuu la wanamuziki?

5.kwanini usiwaze diamond, harmonize kushindana na akina davido? wizkind; kama na kama tu kwa akili yako muziki ni team
 
Atakuwa ameruka mkojo na kukanyaga mavi. Clouds ndio wezi wakubwa kuliko WCB. Wangapi wameliwa na kutupwa ndani ya clouds.
 
Kwa mtazamo wangu hapo juu ni kuwa Harmonize kwa uwezo alionao ni kwamba ana uwezo kwa 70℅ kumtetelesha Diamond endapo akichanga karata zake vizuri,Harmonize anacho takiwa kufanya ni kuwa karibu na clouds na kwa uwezo alio nao wa kuimba na kuachia song back to back naona kabisa Clouds wanamhitaji Konde boy kuliko Alikiba,Alikiba hakuwa chaguo sahihi Bali Jamaa alibebwa na wanao mchukia Diamond ila hawakuwa mashabiki.
Kwa mafanikio aliyopata Harmonize mpaka sasa, unadhani ushauri wako huu utampandisha au kumshusha? huko unakomshauri kwenda kuomba ushirikiano atatumika then watamwacha. Muhimu ni kuwa na wanamziki wengi wa level ya Diamond.
 
1.Clouds walitaka kumuangusha diamond imeshindikana
2. Clouds walitaka Ally awe juu ya diamond imeshindikana
3. Clouds walitaka wcb na wasanii wake waanguke vibaya imeshindikana
4. Clouds walitaka wawe wanawatumikisha wasanii Wa wcb kwenye mafiesta yao imeshindikana
 
Yaani watanzania wamefika hatua kuandika kitu na kuweka taarifa kama ni ya kweli
1.Nini chanzo cha ugomvi wa WCB na GMC?
2. Ushindi wa diamond kwa Clouds kashibda kitu gani hasa? maana mmiliki wa WCB na Clouds ni huyo huyo mmoja!
3.Una uhakika clouds walimpambanisha Kiba na diamond? na una uhakika saa hizi clouds hawampi support Kiba? (ili isiwe imekaa kama kijiwe support with evidence)
4. Kwa nini mindset yako ni kumpambanisha harmonize na diamond? yaani hilo ndilo lengo kuu la wanamuziki?
5.kwanini usiwaze diamond, harmonize kushindana na akina davido? wizkind; kama na kama tu kwa akili yako muziki ni team
Kwa bongo hii hakuna wasanii wa kushindana na Davido na wizkid.
 
Usiongee hivo mkuu, usijekuwa kama ndugu yako Stive wa bongo movie kusema msanii fulani hatoweza kuimba tena....!!!
Unamjua Sallam vizur? Huyo ndo master mind engineer wa connection , hapa bongo hakuna kama jamaa, Clouds pamejaa washamba pale hawawezi lolote,....Harmonize Hana kipaji chochote kuzidi aslay, Barnaba boy, jux au baracka ze prince, Hana umafia wowote kwenye mziki, mavoko alidanganywa hvo hvo, aslay naye vile vile, mwisho wa siku wamewatumia wakawatupa, kiufupi tu harmonize is dead and gone
 
1.Clouds walitaka kumuangusha diamond imeshindikana
2. Clouds walitaka Ally awe juu ya diamond imeshindikana
3. Clouds walitaka wcb na wasanii wake waanguke vibaya imeshindikana
4. Clouds walitaka wawe wanawatumikisha wasanii Wa wcb kwenye mafiesta yao imeshindikana
Una akili sana mkuu
 
Well said
 
Mimi nasema mwakani mda kama huu tutakuja na story nyingine.
 
Back
Top Bottom