Harmonize, Huo ni Ushamba

Hiyo style yako ya kumpa promo Mmakonde wako, imefanya kazi. Umewapata wengi sana. Hongera, ni ubunifu wa marketing.
Sasa tuje kwenye uhalisia. Huu wimbo ni coma cover version ya 'Ahh wapi' wa Wozhu. The way anavyo-sound mpaka kwenye video. Siyo mbaya, kajitahidi ila bado haijamfikia dogo wa Chuga.
 
Back
Top Bottom