Wanasema 2020 ana mpango wa kugombea Ubunge huko umakondeni kupitia MACCM. Naona anajiandaa kwa kampeni ila hakuna kitu kingine cha zaidi.
When was it expensive ?Mmmmmmm,,,ubunge umekua cheap ivo
Utasikia kesho mayonaizi ni mkuu wa wilaya
Huyu mdudu umemuwekaje mkuuPongezi za pekee ziendee serikali ya awamu ya tano chini ya jpm kufanikisha huu wimbo